Namna ya Kupata Namba 24

Namna ya Kupata Namba 24

SolarPower

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
223
Reaction score
27
Wakuu,

Naomba mtumie namba hizi 8, 8, 3 na 3 na kuonyesha namna mtakavyopata namba 24 kwa kutumia namba hizo.
 
Kam hivi 8x8.3x(3/8.3)=24?

Mkuu SMU,

Nakushukuru sana kwa creativity yako na kwa jitihada zako. Ila kuna kasoro kidogo kwenye njia yako na jinsi ulivyozitumia hizo namba.

1. Namba tulizopewa ni 8, 8, 3 na 3 tu na si 8, 8. 8, 3, 3, na 3.

2. Pia hatujapewa namba yenye nukta kama vile 8.3

Naomba wakuu muendelee kufumbua hii puzzle. Kwa taarifa tu, njia ziko zaidi ya 4 za kupata namba 24 kwa kutumia namba 8, 8, 3 na 3.

Kazi kwenu mabingwa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
ha sasa angalia original post mbona umeweka 8.3??? ok check below

(√8×√8)×(√3×√3)=24
 
(8/(3-(8/3))=24)

Another solution if you can use square roots (the sign V```

square root (8x8) x square root (3x3) = 8 x 3 = 24
 
Wewe Kiboko na asante kwa kunisahihisha kuhusu namba nilizotoa. Una haki ya kuitwa KOKOTOA. Nimekutunuku Medali ya DHAHABU.
 
(8/(3-(8/3))=24)

Another solution if you can use square roots (the sign V```

square root (8x8) x square root (3x3) = 8 x 3 = 24

Safi sana X PASTER. Nawe pokea MEDALI YAKO YA DHAHABU.

Wakuu tuendelee bado njia nyingine zipo.
 
Mkuu SMU,

Nakushukuru sana kwa creativity yako na kwa jitihada zako. Ila kuna kasoro kidogo kwenye njia yako na jinsi ulivyozitumia hizo namba.

1. Namba tulizopewa ni 8, 8, 3 na 3 tu na si 8, 8. 8, 3, 3, na 3.

2. Pia hatujapewa namba yenye nukta kama vile 8.3

Naomba wakuu muendelee kufumbua hii puzzle. Kwa taarifa tu, njia ziko zaidi ya 4 za kupata namba 24 kwa kutumia namba 8, 8, 3 na 3.

Kazi kwenu mabingwa.
Sawa. Lakini ungenitendea 'haki' zaidi kama unge acknowledge kwanza kuwa umebadilisha namba kwenye post yako! na hivyo kulifanya jibu langu kuwa halifai tena! Mwanzo (tarehe 10 Sept) 8.3 ilikuwa ni mojawapo ya namba ulizoziorozesha!
 
Ni sawa SMU na samahani kwa hilo. Ila 8.3 ilikuwa moja tu kwa hiyo sio sahihi kutumia 8.3 mbili.

kazi njema na tuendelee kupeana maarifa.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom