Namna ya kupata ticket na Cards ya Mechi ya Simba na Yanga

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
4,556
Reaction score
3,842
Wakuu salam,

Naam kama umeshapata Ticket yako au tuseme Kadi inayokuwezesha kupata tiketi, tunaomba uzoefu wako hapa.

Tuelekeze tunakoweza kupata kadi hiyo na hatimaye Tiketi husika. Au tunaomba utaratibu mzima wa kuwezesha kuona Machi hiyo.

Vilevile unaweza kutujuza pengine, madaraja na gharama zake, Sehemu rahisi ambayo tunaweza kupata Tiketi bila kukaa kwa muda mrefu kwenye Foleni.

Wakuu tunatanguliza Shukrani.

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…