AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,378
Kwani sky unakusudia kazi gani?, mbona umekuwa na hofu na mimba na magonjwa ambukizi?Changamoto hapa ni nyingi, kuna hatari ya mimba na magonjwa ambukizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sky unakusudia kazi gani?, mbona umekuwa na hofu na mimba na magonjwa ambukizi?Changamoto hapa ni nyingi, kuna hatari ya mimba na magonjwa ambukizi.
Nje ya mada. Vijana mjini kulala njaa kupenda. Mathalani kwa dar, Kuna wale jamaa wanaonyesha parking za kupaki magari k/Koo, asee wanapiga si haba. Akikuonyesha parking unampa hero/buku halafu wewe utamalizana na mtoza ushuru. Kwasku hawakosi kuanzia ten.
Uko sahihi kabisa, ustaarabu wetu Bongo uko chini sana. Unaweza kumleta day work akija anaanza kutafuta kiporo cha jana anatengeneza na chai kama kwake. Anamaliza kunywa chai saa sita na makubaliano ni saa mbili mpaka saa kumi jioni.Mfumo kama huu niliuona Kenya unatumika na umefanikiwa vizuri sana.
Na kuna wamama watu wazima kabisa nilikuwa nawaona kwenye mageti ya mabosi wakisubiria hiyo ya day work(temporary house maid) na wanalisha familia zao na kusomesha watoto.
Kilichowafanya wafanikiwe ni kwa sababu wakenya wana discpline sana ya kazi na kila mtu anaheshimu kazi ya mwingine.
Tatizo linalokuja bongo sasa ni ukosefu wa discpline kwenye kazi na baadhi ya watu kudharau au kuchukulia powa/masihara kazi ya mwingine.
Sitaki nikuvunje moyo unaweza kuifanya ukaangalia trend yake but I guess utakuwa unaletewa kesi za ajabu sana ambazo zingine utashindwa kuzipatia ufumbuzi.
Na kesi ambazo utazipata mara kwa mara ni
1.Wizi-wabongo huwa hawaheshimu future yao yaani yuko tayari kuacha kazi inayomuingizia kipato miaka yote kwa kuiba na kutoroka kwa kitu chenye thamani ya laki 5.
2.Kupeana mimba-wenye majumba huwa hawana nidhamu ya kuheshimu umuhimu wa kazi ya housemaid huwachukulia kama watumwa na kuwafanya watakavyo.
3.Kukosekana au kuchelewa kwa malipo-wenye nyumba wengi walishazoea kulipa elfu 30 au 40 kwa mwezi mzima na tena sio kwa wakati hadi muda wanaojisikia,kwa hyo wewe ukiwaambia wakulipe elfu 10 kwa siku au elfu 50 kwa wiki ili ufidie gharama za ofisi wataona ni mzigo mzito upande wao.
OTHERWISE NI IDEA NZURI
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jamaniiih lolUko sahihi kabisa, ustaarabu wetu Bongo uko chini sana. Unaweza kumleta day work akija anaanza kutafuta kiporo cha jana anatengeneza na chai kama kwake. Anamaliza kunywa chai saa sita na makubaliano ni saa mbili mpaka saa kumi jioni.
Baada ya hapo anategemea malipo yake kamili.
Mteja ni rahisi kujilinda, maana mazingira ya utendaji kazi unaandaa weweNi wazo zuri sana lakini vibaka unawachuja vipi ili wateja husika wasilizwe?
Mteja ni rahisi kujilinda, maana mazingira ya utendaji kazi unaandaa wewe
Daah aisee mbaya sana hiiChezeya vibaka Khantwe. Access ya nyumbani kwako ni opportunity ya wao kusoma mazingira ya hapo kwa umakini mkubwa na kuna nini ambacho/ambavyo kitakuwa/vitakuwa na thamani kwao kabla ya kuja kufanya yao.
Hapo kwenye ubakaji hapoooRisk kubwa sana jail njenje, ubakaji, wizi nk
Changamoto za kukosa wafanya kazi permanent