Namna ya kupata vibarua na ajira za muda mfupi

Je uliwai kwenda kufanya iyo kazi ukapa nafasi au unadhani unajiendea unakaa unaanza kuelekeza kila sehemu utakuta wanaohusika hapo itabidi uwaombe wakikibali njoo unipige.

Maisha sio rahisi hivyo.
 
Uko sahihi kabisa, ustaarabu wetu Bongo uko chini sana. Unaweza kumleta day work akija anaanza kutafuta kiporo cha jana anatengeneza na chai kama kwake. Anamaliza kunywa chai saa sita na makubaliano ni saa mbili mpaka saa kumi jioni.

Baada ya hapo anategemea malipo yake kamili.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jamaniiih lol
 
Risk kubwa sana jail njenje, ubakaji, wizi nk

Changamoto za kukosa wafanya kazi permanent
 
Ni wazo zuri sana lakini vibaka unawachuja vipi ili wateja husika wasilizwe?
Mteja ni rahisi kujilinda, maana mazingira ya utendaji kazi unaandaa wewe
 
Reactions: BAK
Chezeya vibaka Khantwe. Access ya nyumbani kwako ni opportunity ya wao kusoma mazingira ya hapo kwa umakini mkubwa na kuna nini ambacho/ambavyo kitakuwa/vitakuwa na thamani kwao kabla ya kuja kufanya yao.

Daah aisee mbaya sana hii
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…