Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
Mkuu habari,Wakuu namimi pia naombeni mnishauri ka blog kangu ninapata views 15000 kwa mwezi ila sijajiunga na hizo seo na pia hata nikiki search Google sipatikani
Ushauri plz
Na ni ads yupi anaye lipa vizuri nimejiunga na revenue hits lakini matangazo yake hayaendani na blog yangu
Ushauri plz
Kwakua unatumia free domain basi huna haja ya kuhangaika na mambo ya site map submission maana teyari wenye site yao(google) washakufanyia. Cha msingi tumia Premium template then hakikisha umeandika proper Meta tags na meta keyword.
Pia ili uendane na mambo kwa sasa, hama http uje https .
Traffic uliyonayo bado ni ndogo Mno hivyo nikushauri tuu weka nguvu zako katika kuikuza site yako, tumia mkwanja pia kuikuza site yako Kisha hayo mengine yatakuja tuu