Namna ya kupata viewers kwenye website au blog

Mkuu habari,
Kwakua unatumia free domain basi huna haja ya kuhangaika na mambo ya site map submission maana teyari wenye site yao(google) washakufanyia. Cha msingi tumia Premium template then hakikisha umeandika proper Meta tags na meta keyword.

Pia ili uendane na mambo kwa sasa, hama http uje https .

Traffic uliyonayo bado ni ndogo Mno hivyo nikushauri tuu weka nguvu zako katika kuikuza site yako, tumia mkwanja pia kuikuza site yako Kisha hayo mengine yatakuja tuu
 
binafsi hua natumia Ku share kwenye mitandao ya kijamii has a hasa Facebook
 
nashukuru sana mkuu

ila umeniacha kidogo



umesema ni hame kwenye http nihamie HTTPS

ukiwa na maana ya .com?? kutoka .blogspot


na pia kuhusu traffic ni dadavulie hapo mkuu
 
hii thread nahisi haito tendewa haki bila kupata warau neno kutoka kwa Chief-Mkwawa

coz huyu ndio moja ya watu walio nishawishi kufungua blog
 

Healthy Comment bro! Naomba tuonane PM chief ninawebsite zangu nataka ziweze pata more visitors through social media, ila sijui nini kifanyike
 
nashukuru sana mkuu

ila umeniacha kidogo



umesema ni hame kwenye http nihamie HTTPS

ukiwa na maana ya .com?? kutoka .blogspot


na pia kuhusu traffic ni dadavulie hapo mkuu
Habari naomba nikufungue macho kidogo Kama unatumia mtandao Wa Blogger Ili kuelewa Zaidi kuhama kutoka http kuja https maana yake ni kwamba unatoka http ambayo haipo secure kuja katika certificate ya Bure ya Google ambayo ni https Baada ya hapo Url ya Blog Yako utaona ina Kufuli la Kijani ikimaanisha kwamba ipo secure Ndio maana Google Kila siku zinashusha chini Blog Zote za http Kwa Sababu hazijukijani Baadae Visitors wanaotoka http wanakua Directed kuja mfumo salama maarufu Kama https Kwa ku-hitimisha kununua domain Haina uhusiano na https bali ni Kuachana na Costume Domain ya Google (.blogspo.com) kuja Premium Domain Yakwako (.com .org .one) ni hayo tu Kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…