Namna ya kupika Coconut jum drop...

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731

Coconut jum drop...

Mahitaji

~ 150g

~ 1/2 cup Icing sugar

~ Yai Moja

~ Vanilla / au ladha yeyote kijiko kimoja

~ 1 na 1/4 cup unga ( self rising flour)

~ raspberry jum

~ 1 cup Nazi kavu (na 1 cup kwaajili ya coat ya juu)

Jinsi ya kufanya πŸ‘‡

Katika bakuli saga siagi na sukari mpka ichange km tunavyofanya kwenye cake,,

Kisha weka yai, Kisha ladha, Kisha chukua unga na Nazi kavu changanya kwenye mchanganyiko wako kutengeneza donge moja lisilonata Kisha , tengeneza shape kwa kutumia mkono, round shape, shape ya duara km pichan hapo Kisha zungushia Nazi kavu kwenye biskut zako ... Panga kwenye tray lako na uoke ndan ya dakika 15 had 20...

Kisha zitoe biskut zako na jaza filling ya jum kwa hapo kati....

Enjoy!
 
Wengine tunapenda tukute vimeandaliwa tu alafu tule πŸ˜‹πŸ˜‹

Asante kwa Somo πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…