Namna ya kupika Pilau

Namna ya kupika Pilau

Nahitaj kupika pilau nyama ya (kuku wa kukaanga na mchuz), njegere, viazi
Je, mahitaj gani yanahitajika hapo
Je njegere Ninaweza kuchanganya kwenye pilau pamoja na kuku na viazi humo humo
 
Back
Top Bottom