Maria Nyamhanga
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 130
- 25
hizo chapati nyembamba azam ashakutengenezea,
azam wanauza hizo manda za sambusa wala hakuna haja ya kukanda unatengeneza ingredients za ndani tu(nyama au vegetables) afu unafunga,
mwambie aulizie zinaitwa manda