Namna ya kupima chumvi kabla ya kuilamba

Yaani nilivyosoma kichwa cha habari, nilivyowaza Mungu anisamehe tu! Kumbe ni chumvi ya kwenye chakula loh
 
Vya chumvi sio vizur et, madaktari wametukataza wamesema tunywe maziwa tu kusaidia kuepuka kansa et
 
Mkuu, yaani nimekuna nduki Hadi kidogo nivunjike mguu baada ya kusoma heading....[emoji23][emoji23]
Baada ya kusoma maudhui, nimekuta bure kabisa... Maana minilijua ni chumvi ya chumvini...[emoji1787][emoji1787]
Na ndiyo anayoimaanisha hapa
 
Hebu ngoja kwanza!! Umemaanisha chumvi au chumvini? Shehe kuwa muwazi bana, sisi ni watu wazima bana
 
Hii tafsida iliyotumika hapa ni kiwango cha masters aisee. Alafu Hicho ulichokiweka ni chakula au rangi ya direction ya kwa mpalange
 
Tulioga, nikafanyiwa massage, aisee!
Sikukumbuka hata kuonja chumvi!!!!!
Nilizama dimbani tu, kuichezea team yangu ya Ushindi, Uvinza FC.

Nairobi Stand up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…