Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe).

Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni hazina, sio 'liability'.

Ila kama katika kugawanya ukapata pungufu ya moja, hii ina maana michango yako katika jukwaa hili huwa ni pumba; kwa hiyo wewe unakuwa 'liability' badala ya 'asset' kwa jamii inayokuzunguka.

Haya, jipime.​
 
Back
Top Bottom