mkuu kuwa wazi kwamba niwewe na unahitaji msaadawakuu assume mtu umekuwa uki masturbate kwa week mara tatu au mbili kwa miaka kama mitano then ukaanza kuona effects kama ku loose concetretion na memory kuanza kuwa week, hapo tunasema ni effects of Masturbation.
Je Mtu ambae ameshapata hizo effects ukiongeza na weak erection...je atumie vyakula gani vya asili ili aweze kutatua hilo tatizo??
hahahaa hakunaga anaye acha punyeto ..Bali huwa tunapumzika tu kutokana na hali ya kimazingira ktk nyakati husikaHuezi kucha punyeto Bwa' mdogo tusidanganyane...
nani kasema ..?? watu wapo ndani ya ndoa lakini bado niwana chama pendwa wa CHAPUTAukioa utaacha punyeto automatic
Ndo jibu la swali lake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama umeshindwa kuacha, ni wewe. Usimkatishe tamaaHuezi kucha punyeto Bwa' mdogo tusidanganyane...
Kabisa...Kunywa maji angalau Lita 3 kwa siku
Fanya mazoezi kila siku Ili uongeze mzunguko wa damu
Kula matunda (machungwa, ndizi, matikiti, maembe, maparachichi, mapeas, nk)
Kula vyakula vya wanga Kama ugali na wali. Pamoja na Mboga za majani.
Muhimu: acha kukaa idle, acha kuangalia porno, tafuta girlfriend (Kama Uko boarding Fanya mazoezi ya viungo sanaa Na usome sana)
NAFAHAMU kuwa hii sio mara yako ya kwanza kutafuta msaada, umetafuta suluhisho hadi google na umekuja hadi Huku. Kumbuka kuacha punyeto ni maamuzi ya ndani kabisa. Amua kwa dhati kuacha
Usipoamua utakua unatwanga maji kwenye kinu.