Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
wakuu assume mtu umekuwa uki masturbate kwa week mara tatu au mbili kwa miaka kama mitano then ukaanza kuona effects kama ku loose concetretion na memory kuanza kuwa week, hapo tunasema ni effects of Masturbation.
Je Mtu ambae ameshapata hizo effects ukiongeza na weak erection...je atumie vyakula gani vya asili ili aweze kutatua hilo tatizo??
Je Mtu ambae ameshapata hizo effects ukiongeza na weak erection...je atumie vyakula gani vya asili ili aweze kutatua hilo tatizo??