Namna ya kushiriki maonesho ya kimataifa ya sabasaba

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Wakuu naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kupata kibanda kwenye maonesho ya kimataifa ya sabasaba anipe muongozo pamoja na gharama zake.
 
Reactions: dtj
Mkuu hatua ya kwanza ni kutembea website yao nafikiri ni Tantrade . Something Chukua namba pale Kisha piga.
 
Mkuu hatua ya kwanza ni kutembea website yao nafikiri ni Tantrade . Something Chukua namba pale Kisha piga.
Ok mkuu ngoja niingie website yao, sikuwahi kujua Tantrade ndo wahusika
 
Reactions: dtj
Asante mkuu nimecheki ila link waliyoweka kudownload form haifunguki..afu namba za simu walizowekaukipiga wanasema hazipo...full ubabaishaji. Ngoja niwatumie email japo nnawasiwasi watajibu mwakani kama ndo wazembe hivi
Huwaga wapo active Sana kwa taasisi kubwa, unaloweza kufanya ni kupambana kujipachika katika mabanda makubwa kama Banda la "Fursa sawa" nk.
 
Nenda ofisi ya sido ilyo karibu nawe.

Au kwa hawa afisa maendeleo kata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…