Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo |Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara TanzaniaOk mkuu ngoja niingie website yao, sikuwahi kujua Tantrade ndo wahusika
Huwaga wapo active Sana kwa taasisi kubwa, unaloweza kufanya ni kupambana kujipachika katika mabanda makubwa kama Banda la "Fursa sawa" nk.Asante mkuu nimecheki ila link waliyoweka kudownload form haifunguki..afu namba za simu walizowekaukipiga wanasema hazipo...full ubabaishaji. Ngoja niwatumie email japo nnawasiwasi watajibu mwakani kama ndo wazembe hivi