ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Nakushukuru sana kwa hapo ambapo uwezo wako wa kufikiri umeishia!!!!!!Ukane uraia wa Tanzania,mheshimiwa hataki wakwepa kodi.
Nakushukuru sana kwa hapo ambapo uwezo wako wa kufikiri umeishia!!!!!!
Na ndiyo maana nikaja hapa jf kwa sababu ninajua ukiachiliambali wewe wako watu wenye busara zao na wanaweza kutoa ushauri !!!!Ahsante sana kama suala dogo kama hili unakuja kuomba msaada JF,inadhihirisha jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kuchambua mambo na kufikia maamuzi sahihi.Biashara ya tsh 7,000 kwa siku maana yake ni sawa na tsh 200,000 kwa mwezi sijui utamudi vipi maisha hata kununua bandle itakuwa ni shida sanaaaaa.
unatakiwa kufika ofisi ya tra uliyonayo karibu na kutoa taarifa ya kuwa umefirika biashara yako moja kwa moja utatolewa kwenye systemWanajf mimi pamoja na kuwa muumini mzuri wa kulipa kodi hali inazidi kuwa mbaya.Mwezi julai wakati naanza kuuza haka kagenge nilikuwa nauza hadi sh.80000/= kwa siku nikaenda TRA wakanipa tin namba.Manisipaa wakanipa leseni nikawa full hapa kazi tu!!!!Ajabu kuanzia oktoba mosi mauzo yameshuka hadi sh.7000/= kwa siku.Wadau nisaidieni namna ya kufanya ili niisitishe hii tin namba kwani sitaweza kupata kodi waliyoniambia ya sh.318000/=ifikapo Desemba 2016
unatakiwa kufika ofisi ya tra uliyonayo karibu na kutoa taarifa ya kuwa umefirika biashara yako moja kwa moja utatolewa kwenye system
Nakushukuru sana mkuu kwa ushauri.Sasa nikienda huko hawawezi kuniuliza ushahidi wowote?unatakiwa kufika ofisi ya tra uliyonayo karibu na kutoa taarifa ya kuwa umefirika biashara yako moja kwa moja utatolewa kwenye system
Wanajf mimi pamoja na kuwa muumini mzuri wa kulipa kodi hali inazidi kuwa mbaya.Mwezi julai wakati naanza kuuza haka kagenge nilikuwa nauza hadi sh.80000/= kwa siku nikaenda TRA wakanipa tin namba.Manisipaa wakanipa leseni nikawa full hapa kazi tu!!!!Ajabu kuanzia oktoba mosi mauzo yameshuka hadi sh.7000/= kwa siku.Wadau nisaidieni namna ya kufanya ili niisitishe hii tin namba kwani sitaweza kupata kodi waliyoniambia ya sh.318000/=ifikapo Desemba 2016
Ndiyo maana unatakiwa upite kwa mtendaji. Usiogope kutembelea TRA, nenda watakuelekeza kitu cha kufanya bila hiyana.Nakushukuru sana mkuu kwa ushauri.Sasa nikienda huko hawawezi kuniuliza ushahidi wowote?
Andika Barua TRA kuwaeleza unasitisha Biashara. Ila jiandae kulipa wanavyokuadai mpaka sasa.Wanajf mimi pamoja na kuwa muumini mzuri wa kulipa kodi hali inazidi kuwa mbaya.Mwezi julai wakati naanza kuuza haka kagenge nilikuwa nauza hadi sh.80000/= kwa siku nikaenda TRA wakanipa tin namba.Manisipaa wakanipa leseni nikawa full hapa kazi tu!!!!Ajabu kuanzia oktoba mosi mauzo yameshuka hadi sh.7000/= kwa siku.Wadau nisaidieni namna ya kufanya ili niisitishe hii tin namba kwani sitaweza kupata kodi waliyoniambia ya sh.318000/=ifikapo Desemba 2016
Umemshauri vizuri mkuu.......lakini kuwa makini na maandishi yakoAndika barua kwa meneja wa TRa aliekaribu yako weka sababu ya kusababisha sales kushuka na ushaidi pia ambatanisha Tin no,leseni ya biashara ,Assessment ya kwanza uliopewa wakati unaenda omaba Tin ambayo inaonesha installement za baada ya miez 3 pia lisit zote za kodi watapokea maombi yako then watakuja kwa block managemnt kujidhilisha ilo ili ufanyiwe amendment ya kodi as presumtive trader
uchumi umekua [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jamani kumbe hali ni mbaya kwa wote. Mimi kabiashara kangu nilianza mwezi july kwasiku mauzo yalikua nanafika hadi 1.3ml yakishuka yanafika laki 8. Lakini kwasasa nauza laki tano tuu kwa siku. Hebu wana uchumi mtusaidie nikitugani hiki jamani.
Jamani tuwe serious mtu anapoomba msaada!!!!uchumi umekua [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]