namna ya kusoma namba za vocha bila kukwangua.

namna ya kusoma namba za vocha bila kukwangua.

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,033
Habari za leo.
Mimi nimekua nikitafuta kila njia ya kutambua namba zilizopo kwenye vocha bila kukwangua nashindwa.
Ila nimepata wazo kwa taaluma yangu ni daktari niko hospitali ya wageni hapa mjinj kesho inaingizwa poweful micro scope/darubini imegharimu sana hadi msaada umechangiwa ili kufanikisha
Kesho nitawaletea jina la hiyo mashine mjue sifa zake.
Sasa nitaitumia kujua namba za hizi vocha bila kukwangua.
Nitawaletea mrejesho wakuu pia leteni maujanja hata njia na kutambua hizo vocha zinavyopatikana
 
Duuh yani Dr kabisa unawaza ujinga wa namba hii...!?haya ni majanga ya Imtu
 
Habari za leo.
Mimi nimekua nikitafuta kila njia ya kutambua namba zilizopo kwenye vocha bila kukwangua nashindwa.
Ila nimepata wazo kwa taaluma yangu ni daktari niko hospitali ya wageni hapa mjinj kesho inaingizwa poweful micro scope/darubini imegharimu sana hadi msaada umechangiwa ili kufanikisha
Kesho nitawaletea jina la hiyo mashine mjue sifa zake.
Sasa nitaitumia kujua namba za hizi vocha bila kukwangua.
Nitawaletea mrejesho wakuu pia leteni maujanja hata njia na kutambua hizo vocha zinavyopatikana
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Sasa hiyo vocha hadi umeileta kwenye darubini si uikwangue tu yaishe!!! Au unazichungulia zikiwa dukani?
 
Baada ya kuvumbua dawa za kutibu virus we unataka ugundue kusoma vocha bila kukwngua.
Twambie kama ulilazimishwa kusomea udakitar tujue
 
Duh mpaka Dr una mawazo kama haya, kweli Tanzania ya viwanda imekaribia
 
Sasa mbona vocha ni simple kuisoma bila kuikwangua,na wala haipelekwi kwenye darubini,tunatumia namba za chini zile ambazo zipo wazi,,,,na hata tukitaka kupata airtime ya bure tunapata tu bila kununua vocha.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
mshana habari, ivi ile thread yako uliyofungua ukielezea kilichotokea eden bado ipo kweli? kuna comment nliweka kule nkasema kuna kitu huyu mwanamke/eva/hawa alifanya na nyoka ndio maana kizazi chake kikalaaniwa sio bure Mungu ampe hiyo adhabu. na ukitaka kuamini baada ya kula hilo tunda eti walijitambua wako uchi???? sasa hapa najiuliza kwa nini mda wote wasitambuane?? et wanatambuana baada ya kula tunda! sababu nyoga alikua mwerevu na blessed kushinda wanyama wote na alikua akizungumza huyu alimpiga sound hawa aka mdu ndo maana God akalaani nanihino yake. hayo ni mawazo yangu .
Natanguliza kwa Mwenyezi-Mungu kama nakosea anisamehe.
Adamu nae ni mjinga sana yani badala ya kumsiliza Mungu wake anamsilikiza mwanamke alieumbwa kutoka kwake? hapa nilipata somo katika maono yangu kamwe sidhani kama kuna atakae nibadilisha mawazo naamini nlichofunuliwa na Mungu. wanadamu waongo sana.
Pia naona kama kulikua na binadamu wengine duniani, nasema hivi sababu kaini huyo mwanamke alimpata wapi akazaa watoto kadhaa? na lameki nae aliua ujue kaini hakua riziki hata adamu hakumpenda kabisa, unajua nini damu ni nzito sana, yule mtoto ni wa nyoka ndo maana hata kizazi cha kaini i mean lameki aliua. Uliona alivyozaliwa sethi alivyozaliwa jinsi adamu alivyofurahi?

Yes kulikua na binadamu bwana wengine duniani bwana.

Kweli wanawake ni hatari hata mithali inasema Mungu alisema tuishi kwa akili na wake zetu, eeh Mwenyezi-Mungu tupe maarifa zaidi maana hawa wanawake ni hatari mno.
Kwa kweli bikira maria alifanya kweli huyu hakuzingua kabisa alitimiza azimio la Mungu, Yusuphu ali kasirika kidogo kulea mtoto asie wake hahahaaah hata baada ya kuzaa eti hakulalal na maria?? unakubali hii kweli? so final yusuphu alimuacha maria akaoa mke mwingine au ilikuaje?
soma Mathayo1:19.
 
Back
Top Bottom