God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Habari za leo.
Mimi nimekua nikitafuta kila njia ya kutambua namba zilizopo kwenye vocha bila kukwangua nashindwa.
Ila nimepata wazo kwa taaluma yangu ni daktari niko hospitali ya wageni hapa mjinj kesho inaingizwa poweful micro scope/darubini imegharimu sana hadi msaada umechangiwa ili kufanikisha
Kesho nitawaletea jina la hiyo mashine mjue sifa zake.
Sasa nitaitumia kujua namba za hizi vocha bila kukwangua.
Nitawaletea mrejesho wakuu pia leteni maujanja hata njia na kutambua hizo vocha zinavyopatikana