Uchaguzi 2020 Namna ya kutafuta kura 3m zilizopelea 2015

Machafiko ya nini?
Kama una hamu na machafuko si ungeenda huko dar kwenye mafuliko ukachafuke?
Ukipona haya usipo pona basi ufe na hayo maji.
 
Naomba sana kuwa modereta wa JF; nikifanikiwa kupata cheo hicho, kuna watu nitawapiga ban mpaka mwisho wa dunia!
 
October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Mkuu naona ndo unamaliziamalizia zamu yako we na kamanda asiyechoka.kuanzia kesho tutakuwa na bia yetu,yehodaya bila kumsahau Jane lowassa,Barbarossa.
NIYEYE TAL2020.
 
Mkuu naona ndo unamaliziamalizia zamu yako we na kamanda asiyechoka.kuanzia kesho tutakuwa na bia yetu,yehodaya bila kumsahau Jane lowassa,Barbarossa.
NIYEYE TAL2020.
Huyu kamwza cassette, anarudia rudia maneno hayo hayo, hajibu point hata moja.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ongezeni juhudi kwenye kufikia hata robo ya kura za mbowe 2005.
 
Inawezekana tusiwe 59+m kwa sababu sensa inasema tofauti. Tunaweza kuwa kwenye 50m hivi.

Tunakuwa kwa wastan wa Mil 1 kwa mwaka, Sensa ya 2012 tulikuwa mil 44.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Msikilize Pole Pole hapo juu, CCM wamewafunda wanachama wao na uhakika wa kura ulivyokaa leo hii akiongea na waandishi.
Hakuna kiongozi muongo kama huyu , naambatanisha ushahidi
Your browser is not able to display this video.
 
Inawezekana tusiwe 59+m kwa sababu sensa inasema tofauti. Tunaweza kuwa kwenye 50m hivi.

Tunakuwa kwa wastan wa Mil 1 kwa mwaka, Sensa ya 2012 tulikuwa mil 44.

View attachment 1603507

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app

Sensa ya 2012 tulikuwa 52m+, kwa wastani wa 1m@year ni sawa hiyo 59m+. Kama unasema tunaweza kuwa 50m+, inawezekana vipi wapiga kura wawe 29m+? Hiyo maana yake watu wenye miaka 18 na kuendelea ni wengi kuliko watoto? Mkuu pitia unachoongea kwanza.
 
Attachment hiyo nimeweka tulikuwa 44.9m 2012 according to them.

Wamesema kila kituo kitakuwa na wapiga kura 500 kama sijakosea ili kupunguza msongamano.

Sasa ukichukua mil 29 waliojiandikisha ÷ kwa namba ya watu 500 = Vituo 58,000.

Vituo 58,000 kuvifikia na mvua hizi za vuli ni changamoto.
 
Mkuu samahani, hamna attachment unayosema ya idadi ya watu ya 2012. Ila kwenye vituo vya wapiga kura wanasema vipo 88,000+ kama sijakosea. Wanasema kila kituo kitakuwa na wapiga kura wasiozidi 500.
 
Mkuu samahani, hamna attachment unayosema ya idadi ya watu ya 2012. Ila kwenye vituo vya wapiga kura wanasema vipo 88,000+ kama sijakosea. Wanasema kila kituo kitakuwa na wapiga kura wasiozidi 500.
Angalia hiyo blue bar ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…