Uchaguzi 2020 Namna ya kutafuta kura 3m zilizopelea 2015

Lowasa karudi CCM na kurazake milioni 6.ukijumlisha na za JPM kura milioni 8 za mwaka 2015 jumla ya kura zitakuwa milioni 14.
ukiongeza na kura milioni 5 za mfalme wa Argentina za mwaka huu jumla ya kura za JPM zitakuwa milioni 19.
akuna muda wakubembelezana hapa,ni spana tu.
 
Kama mamvi alishinda itakuwa TL?!
 
Usiwandanganye, mimi nilipiga kwa Lowassa kwa sababu nilikuwa nataka CCM iondoke madarakani. Sasa nimebaki CHADEMA na jura yangu! Wadanganye wajinga wenzio!
 
Usiwandanganye, mimi nilipiga kwa Lowassa kwa sababu nilikuwa nataka CCM iondoke madarakani. Sasa nimebaki CHADEMA na jura yangu! Wadanganye wajinga wenzio!
Kakura kako kamoja bakinako,kuna warundi,wacongo,wanyarwanda wazambia,waganda,wamalawi n.k.mbona kura zipo nyingi tu zimezagaa kitaa.
 
Kakura kako kamoja bakinako,kuna warundi,wacongo,wanyarwanda wazambia,waganda,wamalawi n.k.mbona kura zipo nyingi tu zimezagaa kitaa.
Safari hii tunawadhibiti, tusiyemfahamu mtaani hapigi kura!
 
Kiukweli CCM walijitaidi Sana kuhimizana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura,upinzani ulilega,kiasi ambacho wengi hawana kadi,ata tusiokua na vyama walipita kuhimiza,Apo ndo upinzani ulikosea
Ndugu yangu mtu asikudanganye kuna kundi kubwa sana la wananchi wana vitambulisho vya kupigia kura lakini hawapigagi kura, sababu hata wakipiga kura, anatangazwa mtu ambaye hawakumchagua alafu hakuna hatua zozote za kudai haki zinazochukuliwa!
Sasa mwaka huu hali ni tofauti, watu wamepata matumaini kuwa wataletewa mtu waliyemchagua iwe kwa heri au kwa shari, CHADEMA wakishinda lazima watangazwe!
Hivyo jukumu letu lililobaki ni kuwahamasisha wote wenye sifa ya kupiga kura mwaka huu wasikose kwenda kupiga kura na wampigie Tundu Lissu!
 
Kama nilivyosema awali hatimaye tumeupata wa kishindo kikuu.
Unaweje kuelezea zile kura zilizokamatwa sehemu mbalimbali,
Udogo wa furaha na ushindi.
Mmezima Internet.
Excessive force hususani znz

Hii imekaaje?

Weka ushabiki pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…