Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

Ach
Tulieni dawa iwaingie, si mnajifanya wajanja, ukisimama mshale ukikimbia mshale! Nyie na mabeberu wenu acha korona feki iwapige na humu sie tunawapiga humu tukichapa kazi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kati ya UAE na USA nani mwenye akili [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1524919

Wewe huwa nashindwa cha kukujibu maana upo bado sana kujadili hoja zozote, katafute mtu akutafsirie nini maana ya "Open to US citizens", maana kingereza ni changamoto kubwa sana kwenu, kwa kifupi nyie ndio mumeanika milango yenu kwa kusema waje hamtawazuia, ila kwa upande wa pili wametoa tahadhari kwa wananchi wao wanaotaka kwenda Tanzania, kwamba huko mpo mpo tu mumejichokea hamjui kichwa au mkia uko wapi.
Yaani unaweza ukamwambia mwanao kwamba jirani fulani huwa amewakaribisha wote na hazuii, ila hapo unachomekea na kumkanya kwamba huyo jirani kwake ni mchafu sana, ana kungui kotekote, hivyo aende akijua huko sio salama.....tafuta mtu akutafsirie hii Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
 
Sawa onesha maala mmarekani ameluhusiwa kuingia kenya japo kwa tahadhari [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sawa onesha maala mmarekani ameluhusiwa kuingia kenya japo kwa tahadhari [emoji3][emoji3][emoji3]

Kenya haijaruhusu Mmarekani kuja, mbona una akili ndogo hauelewi, tumeruhusu mataifa machache sana na ndio maana Marekani anawaambia watu wake kwamba Kenya haijawapa ruhusa ila maskini wa kujichokea Tanzania amepanua milango yote kila anayetaka kuingia aingie atakavyo.
 
Na uyo masikini hawataki nyinyi mbwa nyumbani kwake mnaanza kubadili gia angani
 
Yn nyie mbwa koko mnaokufa kwa corona na mpk Ikulu imeingia ndo muanze kupangia watu kuja nchini mwenu, angali watu wenye akili zao wameshaujua ukweli[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani ugumu uko wapi? Mtu hataki uende kwao si ubaki kwenu? Huu ni ujinga unatoa maamuzi mara dakika nne mbele unaanza kufafanua maamuzi yenyewe.

Kuweni na msimamo. Huu ulegevu ndiyo umesababisha China awe na hisa katika nchi ya Kenya.
 
Yn nyie mbwa koko mnaokufa kwa corona na mpk Ikulu imeingia ndo muanze kupangia watu kuja nchini mwenu, angali watu wenye akili zao wameshaujua ukweli[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1525008

Kama unajua kusoma ramani, pitia upya hiyo ramani inayowapa mzuka uone Mmarekani amekatazwa kuingia hata Canada na Australia kwa mujibu wa ramani yako hiyo.
 
Kama unajua kusoma ramani, pitia upya hiyo ramani inayowapa mzuka uone Mmarekani amekatazwa kuingia hata Canada na Australia kwa mujibu wa ramani yako hiyo.
Canada na Australia ndo nn when it comes to blessed country Tz.
 
Sasa kuzuia ndege za Tanzania kutua Kenya ndio kuwapima au?
 
Leo hii mpakani tunawapima tena sisi sio nyie mjipime huko kwa kughushi vyeti pale Kariokoo, na kwenye uwanja wa ndege tutawapima sisi, hamtokuja na vyeti huku mkikohoa kohoa.
Nani alikataa kupimwa? Mmezuia ndege kutua huko, sasa mnapimaje watu wakati mmezuia ndege kutua huko?
 
Unaweza kuchukua maamuzi magumu wewe na mkenya na wakenya wenzako mliomo humu na popote pale mlipo muwashauri "viongozi" wenu ila kama wanajielewa waachane na majadiliano ya kuomba na kutupigia magoti tubadili muktadha wa barua yetu ya kuipa "BAN" ili iendelee kutua kwenu tu angalau hata baada ya mwezi ndio mje kuomba?? Mtaweza kujimudu kwenye hili kama wanaume au ndio mmetepeta mapema hivi na bado mnalilia mazungumzo??? Bravo My President and My Leaders. wakenya wanalilia kutua kwenye Nchi yetu.
 
Niliwaambia wasubiri huu mwaka wakawa wanadharau sasa wanashanga wenyewe wameacha kuniita mzee wa mwakani baada ya kuona kila kitu wanacho Fanya dhidi ya tz kina buma
 
Ukija huku lazima upimwe, na sio sisi tu, leo hii paspoti ya Mtanzania inasababisha upimwe mara mbili na ufuatiliwe kwa karibu sana, ona dunia yote hamtakiwi...

Mkenya kitu gani !!! Korona yenyewe imetii kwa tanzania sembuse mkenya ???????? Bado siku chache wazungu watatii kuhusu korona tz watakili kuwa tz ni taifa teule, sasa hivi wazungu wameanza kukubari wenyewe kimya kimya na kushangaa sana kwanini korona inashindwa kufanya kazi tz licha ya watz kuacha kabisa kufuata mbinu za kudhibiti korona mabarozi wote wa nchi za mabeberu wamepeleka report ya kushangazwa kwanini tz korona siyo pandemic disease
 
Kama unajua kusoma ramani, pitia upya hiyo ramani inayowapa mzuka uone Mmarekani amekatazwa kuingia hata Canada na Australia kwa mujibu wa ramani yako hiyo.
Mmarekani amekatazwa mpaka canada ndio.
Kwani hujui takwimu za canada zinasemaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…