Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

Niliwaambia wasubiri huu mwaka wakawa wanadharau sasa wanashanga wenyewe wameacha kuniita mzee wa mwakani baada ya kuona kila kitu wanacho Fanya dhidi ya tz kina buma
[emoji3][emoji3]
 
Balozi wa Marekani hapa Tanzania huyo apo hana uchafu wwte puani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna bandiko nimewawekea, someni hapo. Ni uchambuzi wa visa kibao Kenya imefanya dhidi ya Tanzania lkn Tanzania ina switch remote ikiwa imelala inachek TV
 
Kwani ugumu uko wapi? Mtu hataki uende kwao si ubaki kwenu? Huu ni ujinga unatoa maamuzi mara dakika nne mbele unaanza kufafanua maamuzi yenyewe.

Kuweni na msimamo. Huu ulegevu ndiyo umesababisha China awe na hisa katika nchi ya Kenya.
Duuuh... Nasikia China kashaweka mizizi ya ukoloni hapo Kenya!

Bandari lote la Kenya lipo under china control. Vitega uchumi vyote viko chini ya ulinzi wa jeshi la china.

Kenyata na genge lake wameshikilia asilimia 80 ya ardhi yote. Asilimia 20 iliyobaki ni jangwa na ukame inayomilikiwa na akina MK254 na makapuku wengine.

Hawa wazungu-pori kazi wanayo.
 
Wee mpumbavu hakuna mtz amekuja kuomba kujibembeleza kwenu tumewajibu pigo moja tu viongoz wenu hao mbio kuja kuomba msamaha na bahati mbaya bado hamjapewa jibu
 
Kitu naona Wakenya na nchi nyingine hawaelewi ni kimoja

Ninyi hamkutafakari juu ya huu ugonjwa.

Magharibi walifunga shughuli zao kutokana na asili ya maendeleo yao katika sekta ya afya.

Kwa kiwango kikubwa wao magonjwa ya kuambukiza Mengi wamefanikiwa kuyadhibiti kwa maeneo makubwa huko nchini kwao. Na wanajitahidi ya siingie.

Ndio maana hata ukitaka kwenda kwao kwakutokea nchi Kama zetu , lazima upeleke vyeti vya kuonyesha huna magonjwa kadhaa na unachanjo kadhaa.

Pia ugonjwa ulikua ni mgeni, hivyo ilibidi wachukue mda kwanza kuusoma na kujua namna ya kuudhibiti.

Hata sisi Tz tulifanya hivyo .

Tulijaribu kuweka taratibu zitakazo weza kutupa nafasi ya kuuelewa na jinsi ya kuudhibiti.

Tuliyobaini ndani ya mda mfupi.

Huu ni ugonjwa sio wa kutisha Kama magonjwa mengine ya kuambukiza tuliyonayo Afrika.

Mogonjwa kama, Malaria nk.

Japo unaweza ukakupata kirahisi na kusababisha Mauti haraka Sana, sio wa kuuogopa kwa kujifungia ndani.

Kwasababu
mbali na kushindwa kuzalisha hivyo ukafa kwa njaa, ila pia Hali ya kukaa ndani inadhoofisha Kinga ya mwili na kusababisha ugonjwa ukusumbue endapo utaupata.

Ila pia Kama ilivyo magonjwa Mengi yanayosababushwa na Virusi. Japo hayana dawa mwili unauwezo MKUBWA wa kuyadhibiti hivyo hata ukipata Kuna nafasi kubwa ya kupona.

Hakukua na Mantiki yeyote kujifungia ndani wakati mtu anayeugua ugonjwa huu. Anapona.

Pili unapoendelea na shughuli zako mwili unachangamka na kuimarisha Kinga. Hivyo hata ukipata unapona tu.

Kama hatujifungii ndani kwa kuuogopa Malaria, TB, HIV , Ajali, etc vituambavyo vinaua zaidi hata ya hii CoVid-19, Kuna busara gani kuwafungia wanachi ndani.

Au ni kukosa akili.?

Tanzania tulipiga hesabu Kali kwa Haraka. Tukafanya maamuzi sahihi.

Kenya Kama mnaona ni sahihi kumpima Mtazania eti kwa sababu ya kujilinda na Corona na sio kwa sababu nyingine, Basi muanze kutupima na TB, HIV, na Malaria. Ili tusije kuwaambukiza.

Vinginevyo nyie mnacheza Ngoma isiyo Yenu.
Na mnawafaidisha wenye Ngoma yao.
Wanao ingia Hasara ni ninyi na sisi .

Vinginevyo mna malengo yenu mengine
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Habari yako jirani?? Hii imekaaje huko?? Kenya’s Health Workers, Unprotected and Falling Ill, Walk Off Job
 

Hivi bado mnawaza habari za corona? Ss tulishasahau na nafikiri serikali yetu iwe makini kenya maambukizi ni makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…