The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
[emoji3][emoji3]Niliwaambia wasubiri huu mwaka wakawa wanadharau sasa wanashanga wenyewe wameacha kuniita mzee wa mwakani baada ya kuona kila kitu wanacho Fanya dhidi ya tz kina buma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]Niliwaambia wasubiri huu mwaka wakawa wanadharau sasa wanashanga wenyewe wameacha kuniita mzee wa mwakani baada ya kuona kila kitu wanacho Fanya dhidi ya tz kina buma
Balozi wa Marekani hapa Tanzania huyo apo hana uchafu wwte puani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkenya kitu gani !!! Korona yenyewe imetii kwa tanzania sembuse mkenya ???????? Bado siku chache wazungu watatii kuhusu korona tz watakili kuwa tz ni taifa teule, sasa hivi wazungu wameanza kukubari wenyewe kimya kimya na kushangaa sana kwanini korona inashindwa kufanya kazi tz licha ya watz kuacha kabisa kufuata mbinu za kudhibiti korona mabarozi wote wa nchi za mabeberu wamepeleka report ya kushangazwa kwanini tz korona siyo pandemic disease
Duuuh... Nasikia China kashaweka mizizi ya ukoloni hapo Kenya!Kwani ugumu uko wapi? Mtu hataki uende kwao si ubaki kwenu? Huu ni ujinga unatoa maamuzi mara dakika nne mbele unaanza kufafanua maamuzi yenyewe.
Kuweni na msimamo. Huu ulegevu ndiyo umesababisha China awe na hisa katika nchi ya Kenya.
Wee mpumbavu hakuna mtz amekuja kuomba kujibembeleza kwenu tumewajibu pigo moja tu viongoz wenu hao mbio kuja kuomba msamaha na bahati mbaya bado hamjapewa jibuKenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka,
wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi.
Kwa ndege pia itumike hiyo njia, kila anayeng'ang'ania kuja, akubali kupimwa, maana kwao huko walishajichokea kwenye hili la corona na kuachia kila kitu, wa kufa ajifie na wa kupona apone, sasa ili kuzuia wao kutuletea balaa lao hilo, tukomae kama tulivyofanya kwa mpakani, kwa sasa watafanya mengi ikiwemo kuzuia ndege zetu lakini tusisahau sababu za sisi kuwazuia kuja huku, sio kwamba tuna chuki nao, ila afya yetu ni kipau mbele.
Serkali iingie kwenye mazungumzo na uongozi wao kimya kimya na kufikia hayo maamuzi ya kuhakikisha kila mmoja wao anapimwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duuuh... Nasikia China kashaweka mizizi ya ukoloni hapo Kenya!
Bandari lote la Kenya lipo under china control. Vitega uchumi vyote viko chini ya ulinzi wa jeshi la china.
Kenyata na genge lake wameshikilia asilimia 80 ya ardhi yote. Asilimia 20 iliyobaki ni jangwa na ukame inayomilikiwa na akina MK254 na makapuku wengine.
Hawa wazungu pori kazi wanayo.
Habari yako jirani?? Hii imekaaje huko?? Kenya’s Health Workers, Unprotected and Falling Ill, Walk Off JobKenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka,
wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi.
Kwa ndege pia itumike hiyo njia, kila anayeng'ang'ania kuja, akubali kupimwa, maana kwao huko walishajichokea kwenye hili la corona na kuachia kila kitu, wa kufa ajifie na wa kupona apone, sasa ili kuzuia wao kutuletea balaa lao hilo, tukomae kama tulivyofanya kwa mpakani, kwa sasa watafanya mengi ikiwemo kuzuia ndege zetu lakini tusisahau sababu za sisi kuwazuia kuja huku, sio kwamba tuna chuki nao, ila afya yetu ni kipau mbele.
Serkali iingie kwenye mazungumzo na uongozi wao kimya kimya na kufikia hayo maamuzi ya kuhakikisha kila mmoja wao anapimwa.
Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka,