Namna ya kutatua hili la ndege za Watanzania ni kumpima kila mmoja wao kama ilivyo mpakani

Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka, wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi.
Kwa ndege pia itumike hiyo njia, kila anayeng'ang'ania kuja, akubali kupimwa, maana kwao huko walishajichokea kwenye hili la corona na kuachia kila kitu, wa kufa ajifie na wa kupona apone, sasa ili kuzuia wao kutuletea balaa lao hilo, tukomae kama tulivyofanya kwa mpakani, kwa sasa watafanya mengi ikiwemo kuzuia ndege zetu lakini tusisahau sababu za sisi kuwazuia kuja huku, sio kwamba tuna chuki nao, ila afya yetu ni kipau mbele.
Serkali iingie kwenye mazungumzo na uongozi wao kimya kimya na kufikia hayo maamuzi ya kuhakikisha kila mmoja wao anapimwa.
Nani aombe kufanya hayo mazungumzo na mwenzake?? Kwanini hali isiendelee tu hivi ilivyo? Kwanini mnataka kulazimisha ndege zenu zitue kwetu? Kuna kitu gani tutafaidika na ndege zenu kutua kwetu? Mnataka kutuletea ugonjwa unaowaua zaidi huko kwenu? Kwani ndege zenu zisipotua TZ hampati faida lazima mtutegemee kwa hili ? Mbona inawauma sana kwenye hili suala la ndege zenu kupigwa ban?
 
Suala sio ndege, muhimu ni kuhakikisha mking'ang'ania kuja kwetu lazima mpimwe, yaani ile unaonyesha paspoti yako ni ya Mtanzania, kila mtu anaziba pua na kuvaa barakoa na kukuelekeza chumba maalum upimwe, leteni mindege hatuna tatizo maana hata zenyewe sijui huja ngapi kwa wiki.
Kwa kweli sasa hivi Mtanzania kusafiri kwenda nchi yoyote ni tatizo kubwa sana, hamtakiwi popote, hebu ona hii ramani mlivyowekwa alama nyekundu ya hatari....mumejiponza wenyewe kwa kujichokea

2473175_20200801_164531.jpg
 
Huu ni uongo, mtanzania anaye hitaji kuvuka hadi Kenya bora aonyeshe kijikaratasi cha wiraza ya afya TZ kuwa hana corona.
Mgogoro ulikuwa kwamba kenya haikuwa ina heshimu barua za TZ, Magufuli akafunga mpaka, mikenya ikaomba po , sasa mambo shwari..vijibarua zinatengenezewa cybercafe pale mpakani na ni lazima kenya iheshimu
Wachana na huyo jamaa ni wakumpuuza, ukweli anaujua ila anaona aibu kukubali kwamba Tanzania ndiyo yenye kushinda kunapotokea mzozo kati ya Tanzania na Kenya.
 
Leo hii mpakani tunawapima tena sisi sio nyie mjipime huko kwa kughushi vyeti pale Kariokoo, na kwenye uwanja wa ndege tutawapima sisi, hamtokuja na vyeti huku mkikohoa kohoa.
Ushajibiwa hakuna mkenya anayempimaa mtz.
 
kuna kitu watanzania hawaelewi! kukosa uwazi katika hii issue ya corona kutawaumiza sana nyie,
tazama hii kauli ya UAE; zipo nchi nyingi tu duniani zenye msimamo kama huo dhidi ya tanzania.View attachment 1523848
Jaribu kuelewa hata ninyi hamuingii UAE bila kupima,bali sisi tutapima mara mbili negative. Hao ni watu wanaojitambua,hawajazuia mtu kuingia UAE bali wapime kwanza...ninyi mlifanya upuuzi(stupidity)..it seems your leaders have got no visions on right decisions..very weak govt
 
Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka, wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi.
Kwa ndege pia itumike hiyo njia, kila anayeng'ang'ania kuja, akubali kupimwa, maana kwao huko walishajichokea kwenye hili la corona na kuachia kila kitu, wa kufa ajifie na wa kupona apone, sasa ili kuzuia wao kutuletea balaa lao hilo, tukomae kama tulivyofanya kwa mpakani, kwa sasa watafanya mengi ikiwemo kuzuia ndege zetu lakini tusisahau sababu za sisi kuwazuia kuja huku, sio kwamba tuna chuki nao, ila afya yetu ni kipau mbele.
Serkali iingie kwenye mazungumzo na uongozi wao kimya kimya na kufikia hayo maamuzi ya kuhakikisha kila mmoja wao anapimwa.
Kwanini msingesimamia msimamo wenu mbona mmelegeza?
Hatupo kwenye listi za nchi mlizozitaka zije kwa kisingizio cha korona iyo iko sawa kwenu mbona na sisi tulivyowatoa mmepaniki mkaanza kipiga simu swala hili liishe mbona kenya mnabipu kujamba wakati mnaarisha?
Ukweli ni kwamba kenya mnawivu uliokithiri na maendeleo ya Tanzania fanyeni mnavyoweza hamuwezi kizuia, mkimwaga mboga na sisi tukimwaga ugali mnapaniki poleni msisahau huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Ushajibiwa hakuna mkenya anayempimaa mtz.

Thubutu kujidanganya utoke hapo kwenye mabanda ya Tandale uombe nauli ya kufika mpakani kisha jaribu kupita bila kupimwa na wataalam wetu ndio utajua kwanini sio rahisi kumshutkiza paka akigegeda.
 
Kwanini msingesimamia msimamo wenu mbona mmelegeza?
Hatupo kwenye listi za nchi mlizozitaka zije kwa kisingizio cha korona iyo iko sawa kwenu mbona na sisi tulivyowatoa mmepaniki mkaanza kipiga simu swala hili liishe mbona kenya mnabipu kujamba wakati mnaarisha?
Ukweli ni kwamba kenya mnawivu uliokithiri na maendeleo ya Tanzania fanyeni mnavyoweza hamuwezi kizuia, mkimwaga mboga na sisi tukimwaga ugali mnapaniki poleni msisahau huu mchezo hauhitaji hasira.

Hamna siku tumekataza mje, hilo lipo hata pale Namanga, ila kwa sharti moja tu, kila Mtanzania anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zake, lazima apanue mdomo tumpime sisi. Na hii ndio taswira kote, hamruhusiwi kuingia nchi yoyote bila kukaguliwa balaa, angalia hii ramani mlivyotiwa nyekundu...
Yaani kwa sasa paspoti ya Somalia na Sudan ni nafuu kuliko ya kwenu...

2473175_20200801_164531.jpg
 
Leo hii mpakani tunawapima tena sisi sio nyie mjipime huko kwa kughushi vyeti pale Kariokoo, na kwenye uwanja wa ndege tutawapima sisi, hamtokuja na vyeti huku mkikohoa kohoa.
Mkuu huko mpaka ata nyie mnaingia kwa rushwa kuja 255 ila kiuhalisia mpaka Leo bado Mambo hayajakaa sawa kwa pande zote mbili
 
Kenya lazima muelewa..
Mwanzo hata mimi shule zilipofunguliwa nilikua na hofu kwamba watu watakufa , nilikua najua serikali inaficha takwimu.. lakini mpaka sasa hakuna mwanafunzi ambaye amekufa kwa kifo kinachofanana na corona.

Wala hakuna mwili wa mtu unewahi onekana mtaani kwamba ni corona inatuua..
Mimi nahisi hii corona ni fix tu wazungu wametupiga au uzito inaopewa ni mkubwa zaidi ya inaostahili..

Nyie endeleeni kufunga mipaka siku akili ikirudi itakuwa mmechelewa.. cheki hata UK liverpool walipochukua kombe watu walishangilia mtaani.
Baada ya week uliona ongezeko la wagonjwa wa corona liverpool?

Wakenya acheni kujifanya uzungu sana.
 
Hamna siku tumekataza mje, hilo lipo hata pale Namanga, ila kwa sharti moja tu, kila Mtanzania anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zake, lazima apanue mdomo tumpime sisi. Na hii ndio taswira kote, hamruhusiwi kuingia nchi yoyote bila kukaguliwa balaa, angalia hii ramani mlivyotiwa nyekundu...
Yaani kwa sasa paspoti ya Somalia na Sudan ni nafuu kuliko ya kwenu...

2473175_20200801_164531.jpg
Hahahaaa huwa nacheka sn, unajua ww mk254 nshakuelewa mantiki yako yn baada ya kugundua kenya inaitegemea sn Tz na Wakenya wengi wanapambana kuja Tz ss ww unataka kubadili maana kilazima kwamba ionekane WaTz ndiyo wanalazisha kuingia kenya hehehee ujinga huo hautakusaidia cz hata leaders wako wameshathibitisha ni jinc gn kenya inaitegemea Tz, so denial will never help you at all.

Hio ishu ya UAE kuwekea Red colour Tz co issue sn cz mabwana zenu USA wameshawaambia ukweli kwamba Tz ni salama, so basing on ur point of view hebu tuambie ni nani hapa mwenye ushawishi kati ya UAE na USA[emoji116][emoji116]
tapatalk_1596175095725.jpeg
 
Mlikataa kupimwa na Wakenya, mkapiga makelele sana ila leo hii mnapimwa na hao hao Wakenya, maana hatuamini hvyo vyeti vyenu vya Kariokoo, uking'ang'ania kuja kwetu kubali masharti yetu, kama tunawashikisha wageni ukuta na wewe tafuta ukuta wako ushike.
Acha ufara wewe, wanapimwa Tz wa nakuja na vyeti huko kwenu, inakuwa ni pass. Nyie wepesi sana, mkate kwenye Chai
 
kuna kitu watanzania hawaelewi! kukosa uwazi katika hii issue ya corona kutawaumiza sana nyie,
tazama hii kauli ya UAE; zipo nchi nyingi tu duniani zenye msimamo kama huo dhidi ya tanzania.View attachment 1523848
Nani anaenda UAE, Kenya tunakuja sana, hamuwezi kutupangia kitu chochote dhidi ya sisi kuja huko. Ati mtoto akataze baba asiingie chumbani kwake, upate wapi iyo jeuri
 
Hamna siku tumekataza mje, hilo lipo hata pale Namanga, ila kwa sharti moja tu, kila Mtanzania anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zake, lazima apanue mdomo tumpime sisi. Na hii ndio taswira kote, hamruhusiwi kuingia nchi yoyote bila kukaguliwa balaa, angalia hii ramani mlivyotiwa nyekundu...
Yaani kwa sasa paspoti ya Somalia na Sudan ni nafuu kuliko ya kwenu...

2473175_20200801_164531.jpg
Hamtupimii, wacha urongo.
 
Kenya lazima muelewa..
Mwanzo hata mimi shule zilipofunguliwa nilikua na hofu kwamba watu watakufa , nilikua najua serikali inaficha takwimu.. lakini mpaka sasa hakuna mwanafunzi ambaye amekufa kwa kifo kinachofanana na corona.

Wala hakuna mwili wa mtu unewahi onekana mtaani kwamba ni corona inatuua..
Mimi nahisi hii corona ni fix tu wazungu wametupiga au uzito inaopewa ni mkubwa zaidi ya inaostahili..

Nyie endeleeni kufunga mipaka siku akili ikirudi itakuwa mmechelewa.. cheki hata UK liverpool walipochukua kombe watu walishangilia mtaani.
Baada ya week uliona ongezeko la wagonjwa wa corona liverpool?

Wakenya acheni kujifanya uzungu sana.
Corona bongo kwa kweli imefeli..Vyuo,shule zote ziko open na hakuna tetesi zozote za kifo kinachofanana na Covid-19
 
Hamna siku tumekataza mje, hilo lipo hata pale Namanga, ila kwa sharti moja tu, kila Mtanzania anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zake, lazima apanue mdomo tumpime sisi. Na hii ndio taswira kote, hamruhusiwi kuingia nchi yoyote bila kukaguliwa balaa, angalia hii ramani mlivyotiwa nyekundu...
Yaani kwa sasa paspoti ya Somalia na Sudan ni nafuu kuliko ya kwenu...

2473175_20200801_164531.jpg
Tunaongelea nchi zetu mbili unatuletea maswala ya falme za kiarabu? Unaakili kweli? Mbona nchi nyingi zimeweka listi zao mbona hujaweka pia marekani wameweka Tanzania kama nchi salama kwao mbona ujaweka? Tuongelee yetu au unamaanisha mmewaiga waarabu kutuwekea zuio hata kama ni mfano chukulia mfano wa nchi tunazoendana nazo na kwanini iwe ni kenya tuu na si nchi nyingine East Africa hii inamaana inamaana Rwanda, Congo, Uganda, Msumbiji, Burundi na nyinginezo haziogopi Tanzania mnaogopa nyie tuu. Haya kama hamfichi kitu kuhusiana na tuhuma zenu leteni uthibitisho
 
Hahahaaa huwa nacheka sn, unajua ww mk254 nshakuelewa mantiki yako yn baada ya kugundua kenya inaitegemea sn Tz na Wakenya wengi wanapambana kuja Tz ss ww unataka kubadili maana kilazima kwamba ionekane WaTz ndiyo wanalazisha kuingia kenya hehehee ujinga huo hautakusaidia cz hata leaders wako wameshathibitisha ni jinc gn kenya inaitegemea Tz, so denial will never help you at all.

Hio ishu ya UAE kuwekea Red colour Tz co issue sn cz mabwana zenu USA wameshawaambia ukweli kwamba Tz ni salama, so basing on ur point of view hebu tuambie ni nani hapa mwenye ushawishi kati ya UAE na USA[emoji116][emoji116]View attachment 1524595
Hakunaga kitu kinachomuuma huyu kajambanani humu kama nchi yake kuipigia magoti Tanzania na huwa hakuna kitu atafanya zaidi ya kufungua nyuzi za kujifariji zikiwemo za kupindisha ukweli...hata kipindi kile wakuu wa mikoa walipozuia magari yao mipakani halafu serikali yao ikaipigia Tanzania magoti alikuja na nyuzi zingine za namna hii ili ajifariji maana huwa anakereka mnoo kuona nchi yao ikiipigia magoti Tanzania.
 
Mnaanzisha wenyewe tukijibu mnatengua maamuzi yenu,mnaona jinsi tunavyowapeleka we don't care about maamuzi ya kenya tunawaona kama midoli tu
Mlikataa kupimwa na Wakenya, mkapiga makelele sana ila leo hii mnapimwa na hao hao Wakenya, maana hatuamini hvyo vyeti vyenu vya Kariokoo, uking'ang'ania kuja kwetu kubali masharti yetu, kama tunawashikisha wageni ukuta na wewe tafuta ukuta wako ushike.
 
Mnaanzisha wenyewe tukijibu mnatengua maamuzi yenu,mnaona jinsi tunavyowapeleka we don't care about maamuzi ya kenya tunawaona kama midoli tu

Ukija huku lazima upimwe, na sio sisi tu, leo hii paspoti ya Mtanzania inasababisha upimwe mara mbili na ufuatiliwe kwa karibu sana, ona dunia yote hamtakiwi...

2473175_20200801_164531.jpg
 
Back
Top Bottom