Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Mahitaji:
Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu.
Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa.
Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando.
Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese 🧀 yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha utabakiwa na Cheese yako ukiamua kuweka flavors ni wewe sasa weka kwenye fridge ikisubiri matumizi.