Namna ya kutengeneza Cheese πŸ§€ ukiwa nyumbani kwako

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Mahitaji:
Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu.

Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa.

Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando.

Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese πŸ§€ yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha utabakiwa na Cheese yako ukiamua kuweka flavors ni wewe sasa weka kwenye fridge ikisubiri matumizi.
 
Mbona sijaona matumizi ya sukari hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…