Upendo kitundu
Member
- Dec 17, 2022
- 73
- 46
Samahani nilisahau kuweka link ya hio website.
Bonyeza hapa.Onyesha mfanoo
Nenda sehemu pameandikwa CV form chukua link ya fomu yako iandike mahali, nenda google search iandike kisha tengeneza CV yako kwa amani
Sehemu ya CV form kuna link ya kutengeneza CV yako.Nenda sehemu pameandikwa CV form chukua link ya fomu yako iandike mahali, nenda google search iandike kisha tengeneza CV yako kwa amani
Siion hiyo sehem.ya cv form screenshot then niwekee hapaNenda sehemu pameandikwa CV form chukua link ya fomu yako iandike mahali, nenda google search iandike kisha tengeneza CV yako kwa amani
Nimeiona mkuuSehemu ya CV form kuna link ya kutengeneza CV yako.