Namna ya kutengeneza radi na kuituma kwa adui kichawi

Kichwa cha Habari "namna ya kutengeneza radi"

maelezo ya ndani radi hutengenezwa mchana lakini ni lazima itumwe jioni, muhimu sana kutumia Kichwa cha kuku Kwa sababu kuku huwa anadonyoa!!

Naamini wote mmeelewa jinsi ya kutengeneza radi
Nikitoa sir nitahalibu kila kitu mkuu
 
Hiyo radi yako inazimwa kwa nazi tu! maji ya nazi moja huzima radi hata kumi
 
Kichwa cha Habari "namna ya kutengeneza radi"

maelezo ya ndani radi hutengenezwa mchana lakini ni lazima itumwe jioni, muhimu sana kutumia Kichwa cha kuku Kwa sababu kuku huwa anadonyoa!!

Naamini wote mmeelewa jinsi ya kutengeneza radi

Huyu jamaa mada zake za hovyo hovyo tu.

Anaokota okota upuuzi huko mitandaoni na kuleta humu. Anaandika vitu asivyovijua.

Contents zote za mada yake hakuna hiyo 'HOW' to create radi.

-Kaveli-
 
Wewe mjamaa kwa kwel umenishinda tabia yaan ktk mambo yetu yale ya ujana kupenda totoz umo na haya mambo ya uganga pia umo daah
 
HEBU MTUMIE MAGHUFULI KAMA NI KWELI INAFANYAKAZI AU PROPAGANDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…