Namna ya kutengeneza radi na kuituma kwa adui kichawi

Namna ya kutengeneza radi na kuituma kwa adui kichawi

Kichwa cha Habari "namna ya kutengeneza radi"

maelezo ya ndani radi hutengenezwa mchana lakini ni lazima itumwe jioni, muhimu sana kutumia Kichwa cha kuku Kwa sababu kuku huwa anadonyoa!!

Naamini wote mmeelewa jinsi ya kutengeneza radi
Nikitoa sir nitahalibu kila kitu mkuu
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu


Rad ni silaha muhimu sana katika uloz yaan uchawi

Rad hutumiwa muhalifu, mwizi, taper yaan yeyote aliyekosea rad huwa haimudhuru mtu ambaye hajakosea

Rad ni moto japo huwa haitengenezwi kwa moto rad huwa haisolegei jua au moto kwa kifupi rad na moto au jua kali ni kama mama mkwe

Ndo maana mtu yeyote akitumiwa rad hutumiwa jion na kumchalaza kweli kweli hata kama itampata mchana lakin lazima iwe imetumwa jion

Rad huwa haina umbo kamili mara nyingi hubadilika kulingana na mazingira
Leo umekuja na radi na hiyo unaiuzaje?

Bibi yanngu alinifundisha kutengeneza rad ya kuuwa. Na ya kujeruh

Siyo kwamba rad zote huuwa hapana zingine hujeruh tu na kusepa yaan hutoa onyo


Rad hutengenezwa kwa muunganiko wa vitu vingi sana na mwisho hutumwa na kuamurisha kwenda kwa mtu ambaye hutajwa jina kabla rad haijaondoka na kwenda kufanya yake

Rad ni kama mtu au kama mbwa huambiwa maneno na kuamlisha kwamba nenda kwa flan kamuonye usimuue nenda mda huu kakaa sehemu fulan kamchane miguu au kamuue kabisa kamubabue

Rad mara nyingi huwa ina umbo la kuku kwa sababu hutengenezwa kwa kichwa cha kuku

Kichwa chwa kuku huwa kina umuhimu mkubwa sana katika rad maana huwa kimechongoka na kichwa cha kuku hutumika kudonoa kwa. Hiyo na rad nayo mara nyingi huuwa kwa kudonoa donoa


Rad hutengenezwa mchana

Ni lazima rad uitume jion hata kama itapiga kesho mchana

Jua likizama ndo mda wa kutuma rad hata kama itafanya tukio kesho mchana au jion hiyo hiyo

Naogopa kuwambia mengi kuhusu rad sababu mtaniogopa sana

Na nikitoa siri zote kuhusu rad naweza pata mazara makubwa sana

Naomba tu niishie hapo kwa leo wakuu

LONDON BABY
 
Hiyo radi yako inazimwa kwa nazi tu! maji ya nazi moja huzima radi hata kumi
 
Kichwa cha Habari "namna ya kutengeneza radi"

maelezo ya ndani radi hutengenezwa mchana lakini ni lazima itumwe jioni, muhimu sana kutumia Kichwa cha kuku Kwa sababu kuku huwa anadonyoa!!

Naamini wote mmeelewa jinsi ya kutengeneza radi


Huyu jamaa mada zake za hovyo hovyo tu.

Anaokota okota upuuzi huko mitandaoni na kuleta humu. Anaandika vitu asivyovijua.

Contents zote za mada yake hakuna hiyo 'HOW' to create radi.

-Kaveli-
 
Wewe mjamaa kwa kwel umenishinda tabia yaan ktk mambo yetu yale ya ujana kupenda totoz umo na haya mambo ya uganga pia umo daah
 
HEBU MTUMIE MAGHUFULI KAMA NI KWELI INAFANYAKAZI AU PROPAGANDA
 
Back
Top Bottom