Namna ya kutengeneza radi na kuituma kwa adui kichawi

Nenda brella kasajili huo ujuzi

Ifanye kuwa kiwanda katika Tanzania ya viwanda full

Naomba ratiba ya Mhe kije zinduliwa panua matuzi iwe inatumiwa hata mbu
 
Kama nguruwe anakula atashindwaje kula nyama za watu? Maana nguruwe walikywa watu kabla hawajalaaniwa.
Mmh! acha bhana kuikosea heshima nyama tamu kuliko zote dunian mkuuu....
 
Tulipovamiwa na nduli Udiamin ungetusaidia kwa hizo radi vita ingeisha mapema sana, au zina masharti?
 
mshana jr kuna ajali nyingine huku...
 
Kichwa cha Habari "namna ya kutengeneza radi"

maelezo ya ndani radi hutengenezwa mchana lakini ni lazima itumwe jioni, muhimu sana kutumia Kichwa cha kuku Kwa sababu kuku huwa anadonyoa!!

Naamini wote mmeelewa jinsi ya kutengeneza radi
Haijaeleweka vizuri maana nilijua ataanza na kutaja vifaa vya kutengenezwa Radi kisha namna ina tengenezwa na kuituma
 
Sina marifa ya kutengeneza karatas mkuu huwa naumiza kichwa sana kuhusu hilo
Usinitanie mkuu. Km umeweza kutengeneza radi pesa itashindikana? Nyie watu wazito mna vitu vizito kwahiyo sidhani km utashindwa. Jaribu mkuu itawezekana. Km unaweza kujigeuza paka au ukafanya usionekane na mamilion ya watu pesa inashindikana mkuu? Bado sijaamini kbsa.
Unaingia ndani ya nyumba iliyofungwa madirisha na milango au unapaa angani huku ukitumia muda mfupi safari ambayo mtu wa kawaida itamchukua takribani miezi 2 kufika ila ww unatumia dk 10 yaan hata ndege haiwezi
 
Ivo mtu akiomba umfundishe uchawi utakubali
 
nimesoma bandiko lako sijaona namna ya kutegeneza radi hapa, sasa kama unahitaji utalaam huo sema tukupatie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…