Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyama za watu umekula..?Ungo nishapanda na fisi nishapanda katika safar za hapa na pale
Kama nguruwe anakula atashindwaje kula nyama za watu? Maana nguruwe walikywa watu kabla hawajalaaniwa.Na nyama za watu umekula..?
Mmh! acha bhana kuikosea heshima nyama tamu kuliko zote dunian mkuuu....Kama nguruwe anakula atashindwaje kula nyama za watu? Maana nguruwe walikywa watu kabla hawajalaaniwa.
Na nyama ya binadamu iko kama ya nguruwe.....Mmh! acha bhana kuikosea heshima nyama tamu kuliko zote dunian mkuuu....
Ushawah kula zote mkuu?Na nyama ya binadamu iko kama ya nguruwe.....
Nguruwe walikuwa ni binadamu. Maandiko yanasema hivyo.Ushawah kula zote mkuu?
Haijaeleweka vizuri maana nilijua ataanza na kutaja vifaa vya kutengenezwa Radi kisha namna ina tengenezwa na kuitumaKichwa cha Habari "namna ya kutengeneza radi"
maelezo ya ndani radi hutengenezwa mchana lakini ni lazima itumwe jioni, muhimu sana kutumia Kichwa cha kuku Kwa sababu kuku huwa anadonyoa!!
Naamini wote mmeelewa jinsi ya kutengeneza radi
Usinitanie mkuu. Km umeweza kutengeneza radi pesa itashindikana? Nyie watu wazito mna vitu vizito kwahiyo sidhani km utashindwa. Jaribu mkuu itawezekana. Km unaweza kujigeuza paka au ukafanya usionekane na mamilion ya watu pesa inashindikana mkuu? Bado sijaamini kbsa.Sina marifa ya kutengeneza karatas mkuu huwa naumiza kichwa sana kuhusu hilo
Hao wote wawili hamuwawez mkuu wako vizur sana
Ivo mtu akiomba umfundishe uchawi utakubaliAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Rad ni silaha muhimu sana katika uloz yaan uchawi
Rad hutumiwa muhalifu, mwizi, taper yaan yeyote aliyekosea rad huwa haimudhuru mtu ambaye hajakosea
Rad ni moto japo huwa haitengenezwi kwa moto rad huwa haisolegei jua au moto kwa kifupi rad na moto au jua kali ni kama mama mkwe
Ndo maana mtu yeyote akitumiwa rad hutumiwa jion na kumchalaza kweli kweli hata kama itampata mchana lakin lazima iwe imetumwa jion
Rad huwa haina umbo kamili mara nyingi hubadilika kulingana na mazingira
Bibi yanngu alinifundisha kutengeneza rad ya kuuwa. Na ya kujeruh
Siyo kwamba rad zote huuwa hapana zingine hujeruh tu na kusepa yaan hutoa onyo
Rad hutengenezwa kwa muunganiko wa vitu vingi sana na mwisho hutumwa na kuamurisha kwenda kwa mtu ambaye hutajwa jina kabla rad haijaondoka na kwenda kufanya yake
Rad ni kama mtu au kama mbwa huambiwa maneno na kuamlisha kwamba nenda kwa flan kamuonye usimuue nenda mda huu kakaa sehemu fulan kamchane miguu au kamuue kabisa kamubabue
Rad mara nyingi huwa ina umbo la kuku kwa sababu hutengenezwa kwa kichwa cha kuku
Kichwa chwa kuku huwa kina umuhimu mkubwa sana katika rad maana huwa kimechongoka na kichwa cha kuku hutumika kudonoa kwa. Hiyo na rad nayo mara nyingi huuwa kwa kudonoa donoa
Rad hutengenezwa mchana
Ni lazima rad uitume jion hata kama itapiga kesho mchana
Jua likizama ndo mda wa kutuma rad hata kama itafanya tukio kesho mchana au jion hiyo hiyo
Naogopa kuwambia mengi kuhusu rad sababu mtaniogopa sana
Na nikitoa siri zote kuhusu rad naweza pata mazara makubwa sana
Naomba tu niishie hapo kwa leo wakuu
LONDON BABY
nimesoma bandiko lako sijaona namna ya kutegeneza radi hapa, sasa kama unahitaji utalaam huo sema tukupatie.Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana