Nimejikuta nimecheka kwa sautiWajapan wamelala mbele
Ndio mambo yao yawahusuyo ila hawatokei wala nini, hata wao huenda hawajui kituNimejikuta nimecheka kwa sauti
unataka kupewa tofauti yake kwenye nini mkuu,body designing,au wapi be specific kidogo tukuelezeeWataalam naomba kupewa elimu ya utofauti wa hizi Toyota Hilux tatu( Raider, Vigo na Revo) ipi ni ipi kwanzia engines, technologies, interior, Body designing , Headlights ect.
View attachment 2410504
Hahahaha 😂🤣🤣 mtoa mada amewakimbizaaWajapan wamelala mbele
Sidhani ishu kubwa tunayoitaka ni engine,gear box na bodyunataka kupewa tofauti yake kwenye nini mkuu,body designing,au wapi be specific kidogo tukuelezee
Ndio mambo yao yawahusuyo ila hawatokei wala nini, hata wao huenda hawajui kitu
Tulieni jamani, leo siku ya kazi ndio maana mmeona kimya sana 😂Ndio mambo yao yawahusuyo ila hawatokei wala nini, hata wao huenda hawajui kitu
Kwa navyofahamu ya kulia yenye rangi nyeusi ni hilux vigoWataalam naomba kupewa elimu ya utofauti wa hizi Toyota Hilux tatu( Raider, Vigo na Revo) ipi ni ipi kwanzia engines, technologies, interior, Body designing , Headlights ect.
View attachment 2410504
RevoWataalam naomba kupewa elimu ya utofauti wa hizi Toyota Hilux tatu( Raider, Vigo na Revo) ipi ni ipi kwanzia engines, technologies, interior, Body designing , Headlights ect.
View attachment 2410504
VigoKwa navyofahamu ya kulia yenye rangi nyeusi ni hilux vigo
Halafu ya kushoto yenye rangi ya silver ni hilux revo
Utofauti ni kwamba revo ni latest version ya hilux na vigo ni edition nyuma ya revo
Revo ni hilux model ya kuanzia 2016 while vigo ni hilux model kuanzia 2000's hadi 2015
Engine zao pia zinatofautiana
Hilux Vigo zina engine zifuatazo
Engine za Petrol kuna
TTR-FE VVT hii ina cc2000 na pia ni inline 4
2TR-FE VVT-I hii pia ni inline 4 ila ina cc2700
1GR-FE hii ni supercharged VVT-i pia ni V6 na ina cc4000
2TR-FE VVT-I hii ni inline 4 inatumia petrol na gesi asilia CNG ina cc 2700
1GR-FE VVTI hii ni V6 ina cc4000
Engine za Diesel
2L-T na 2L-TE hizi zote zina cc2400
2KD-FTV hii ni D4D zinafahamika sana huko mtaani ina cc2500 pia hii ni Turbodiesel four cylinder
2KD-FTV hii pia ni D4D ina cc2500 ina turbo na pia ina cylinder nne
1KD-FTV hii engine ni D4D pia ni turbocharged ina cc3000 pia ina cylinder nne hii engine ipo kwenye prado za zamani pia kwenye hilux surf
Hilux revo zina engine zifuatazo
Engine za Petrol ni hizi hapa chini
1TR-FE hii inafanana na iliyopo kwenye vigo ina cc 2000 pia ina cylinder nne (inline)
2TR-FE hii pia ina cylinder nne(inline) na pia ina cc2700
1GR-FE hii ni V6 na ina cc4000
Engine za Diesel ni kama zifuatazo
2GD-FTV hii ina turbo pia nininline 4 na ina cc2400
2KD-FTV hii ina turbo ni inline 4 na ina cc2500
2KD-FTV hii ina turbo Intercooler cc zake ni 2500 na ni inline 4
1GD-FTV ina turbo cc 2800 na ni cylinder nne
TKD-FTV ina turbo cc3000 pia ni cylinder nne
5L-E hii ina cc 3000 pia ina cylinder nne (inline)
Baadhi ya engine zinafana kwenye model zote
Pia tofauti ya revo na vigo revo ni more comfortable kuliko vigo.
Mengine wanaojua zaidi kuhusu magari hayo wataongezea
Asante Sana Kwa kutoa elimu angalau sasa tumepata mwangaKwa navyofahamu ya kulia yenye rangi nyeusi ni hilux vigo

Jambo dooogo, tunahangaika, wakati mtaalamu upo😂Aisee sorry simu haikuwa na chaji,
Ullp
Hilux Revo (Revolution) ni generation ya 8 ya Toyota Hilux Starting from 2015-Present.
Hilux Vigo ni generation ya 7 ya Toyota Hilux starting from 2004.
In between hizi generations kulikuwa na
facelifts za Vigo ya 2008 na kuna ya 2011. Kisha re-Ldesign kwenda Revo 2015 kisha kuna facelift ya 2018ll na ya 2021.
Kuna editions mbali mbali katika hizi pickup, Australian Edition ni Rogue, European ni Invincible, South African ni Raider/Legend, Thailand ni Rocco. To
Limeisha bila shakaJambo dooogo, tunahangaika, wakati mtaalamu upo😂