Namna ya kutofautisha Toyota Hilux Raider, Vigo na Revo

Namna ya kutofautisha Toyota Hilux Raider, Vigo na Revo

Wapo watu wanaziona hizo pickup ni konokono eti havina speed,nasema hiiiii hayajawakuta!
 
Wapo watu wanaziona hizo pickup ni konokono eti havina speed,nasema hiiiii hayajawakuta!
Gari ina horsepower ya 180HP hadi 201HP halafu mtu anakwambia eti iko slow na hapo gari ina turbo! Masihara makubwa, Global Diesel 6 engine ni ya teknolojia ya kisasa sana ambayo inatumia common rail injection. Efficiency ya hio engine haitofautiani kabisa na Petrol.Ndio ziko kwenye hio Hilux na Fortuner.

Zile zama za kusema engine ya diesel nzito kuchanganya zimeshakuwa historia. Diesel inakamata mwendo kama petrol tu na ina more effieciency kwenye ulaji kuliko Petrol.
 
Mkuu hivi wakisema gari inakuja na technology ya “common rail injection” maana yake haswa nini nini? Yani ni kuwa inaboreshwa uchomaji wa mafuta na ulaji unakuwa chini? Pia hii common rail injection inapatikana kwa gari za Petrol ?
 
Hakuna tofauti kubwa hayo ni majina tu kutokana na ilipotengenezwa
Hilux ni japan, raider ni south africa , sinui revo ila nahisi itakuwa za thailand huko
Hiace ni japan , ikiwa ya south africa inaitwa quantum
Starlet ni ya japan , ikiwa south inaitwa Tazz,
Utofauti unaokuwa kwenye engine , ni sababu toyota wanapotoa sub licence huwa hawatoi engine options zote , ie hilux ya japan ina engine option nyingi kuliko raider ya south africa
 
Mkuu hivi wakisema gari inakuja na technology ya “common rail injection” maana yake haswa nini nini? Yani ni kuwa inaboreshwa uchomaji wa mafuta na ulaji unakuwa chini? Pia hii common rail injection inapatikana kwa gari za Petrol ?
Yeah inaboresha uchomaji kwa kutumia reli maalum kibomba cha chuma ambacho ndio kinasambaza wese kwenye injector directly.
 
Aisee sorry simu haikuwa na chaji,
Ullp
Hilux Revo (Revolution) ni generation ya 8 ya Toyota Hilux Starting from 2016-Present.

Hilux Vigo ni generation ya 7 ya Toyota Hilux starting from 2004.

In between hizi generations kulikuwa na
facelifts za Vigo ya 2008 na kuna ya 2011. Kisha re-design kwenda Revo 2015 kisha kuna facelift ya 2018 na ya 2021.

Kuna editions mbali mbali katika hizi pickup, Australian Edition ni Rogue/SR-X/SR-S, European ni Invincible, South African ni Raider/Legend, Thailand ni Rocco ambayo ndio full options. Mwaka huu wametoa performance version GR Hilux.

Powertrains:
Revo zina engines za 1GD-FTV na 2GD-FTV kwa diesel,best commonrail injection engines kwa sasa with euro 6 emission pass coupled with 6-Speed auto and manual trans. Petrols ni 1TR-FE 2TR-FE, 1GR-FE.

Vigo zina 1KD-FTV na 2KD engines kwa diesel coupled with 5 speed autos or manual trans. Petrol ni 1TR-FE, 2TR-FE na 1GR-FE kama kawaida.
Dah! Huja bakiza kitu[emoji1360][emoji120]
 
Mkuu hivi wakisema gari inakuja na technology ya “common rail injection” maana yake haswa nini nini? Yani ni kuwa inaboreshwa uchomaji wa mafuta na ulaji unakuwa chini? Pia hii common rail injection inapatikana kwa gari za Petrol ?
Hapo zamani kulikuwa na injector pump pamoja na mechanical nozzle kwa ajili ya diesel automisation, injector ilikuwa inafungwa kwenye flywheel , na ilikuwa pia ina ratibu timming za uchomaji , (firing order) moja ya disadvantage ya mfumo wa injector pump ni kuwa kwa sababu ipo connected kwenye flywheel, engine inapobeba mzigo hupungua speed, bayo pia hupunguza speed ya pump, ambayp nayo pia hupunguza speed ya nozzle atomization, kuna chain reaction flani ambayo huathiri perfomance once engine inapobeba mizigo, disadvantage ya pili ni kuwa injector pump haikuwa na pressure kali kwa ajili ya fuel atomisation, the best injector ilikuwa inatoa around 600 to 700 presseure bar. Hizi ndo zile zama diesel engine zilikuwa doggy slow na moshi wa kutosha

Common rail sasa ni mfumo tofauti, hapa kuna electronically conntroled fuel pump, kazi ya hii pump ni kujaza mafuta kwenye rail yakiwa katika pressure ya hadi 2000bar, neno common limetumika kwa kuwa nozzles , sasa zote huchukua mafuta yakiwa kwenye rail na yakiwa na pressure kali na preszurre sawa bila mpangilio wowote ,( firing order), kazi ya kutatibu mafuta kwenye common rail.hufanywa na sensors zilizopo kwenye flywheel, bazo hupeleka positions ya flywheel kwenye computer (ecu ) ambayo yenyewe sasa huzipa nozzles signal ya kuruhusu atomisation , moja ya advantage za mfumo huu ni kuwa speed ya flywheel haiaffect pressure kama kwenye injector pump. , pili mafuta yanakuwa atomosed kwa pressure kali kuliko injector pump , which allows better atomisation ana hence fuel economy, tatu hakuna makelele ya injector pump, nne kwa kuwa nozzle zinakuwa na mafuta tayari hadi shingoni , timming period na reaction time ni very rapid kuliko mechanical pump., nne tofauti na enjector pump ambayo ilikuwa ni mzigo constant, electonicaly contolled pump huwa haiwi on muda wote , kama pressure kwenye common rail ipo mahala pake hii pump huwa inakuwa disengaged na kupunguza mzigo wa engine .
Ndio sababu engine zinazotumia mfumo wa common rail huwa smooth , very silent and super powerful.
 
Back
Top Bottom