gashambala uwezo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 485
- 67
salaam sana, wana jamvi naombeeni kuelimishwa namna ya kutuma maombi ya ualimu wa diploma shule ya msingi, aidha nimeenda kule kwenye website ya necta maelezo nimeyapa nusunusu. sijaeelewa chochote. nikijaribu kugoogle na kutana na kigiza hivi..... yaani ina loading..........ikifunguka unakutana na maelezo ya akiana mwenye kujua zaidi p'se anisaidie. Asanteni