Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,549
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini mu wazima wa afya, napenda kuwasilisha nionacho mimi katika BSS ya 2018, katika hatua za michujo huko mikoani walichujwa baadhi ya vijana /wasanii wenye uwezo wa hali ya juu, hii ilitokana na ushindani kuwa mkali lakini pia utashi wa majudge,
Kwa sasa BSS ipo katika hatua za 17 bora ambapo kulingana na msimamo wa waliopiga kura kufikia leo tarehe 22/11/2018 kuna kila dalili ya wanao chagua nyimbo zinazo wakosha wapenzi watazamaji/wafuatiliaji watafika hatua za juu sana huku wale watakao kuwa wakifanya kuwafurahisha majudge watasukumwa nnje kama tu watshindwa kuwakosha wafuatiliaji/watazamaji/wapiga kura/. Nime yasema hayo kwakua kura za mashabiki ndizo zitakazo wafanya wasonge mbele, kwani kupata kura chache kutafanya msanii kuchujwa ama kuwa katika hatari ya kuchujwa
Hivyo nitoe wito kwa washiriki kama watapata fursa ya kuupitia uzi huu ama yeyote anaeweza kuwapenyezea, ni kuwa wanatakiwa kuwa makini ishu zinazo husisha kura za wananchi mara nyingine wananchi huweza kumpigia kura hata anaeimba nnje ya key issue ni how wataweza kubalance machaguo ya nyimbo kuzitendea haki katika perfomance na kufuata maelekezo wanayopewa na majudge atakaeweza kubalansisha hayo atakwenda kuiboka BSS WINNER 2018