Rasib
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 395
- 45
Khabari wadau! Kwa wenye ujuz wa kuweza kuunganisha internet katika simu zifuatazo naomba anisaidie nokia, sumsang, tecno....lengo ni kuanzisha kabiashara kakuunganisha internet kwenye simu hzo....
Najua wengine mtakuja na negative idea karibu, pia wenye roho ya kunisaidia watakuja na productive idea! Msaada jamani...thnx
Najua wengine mtakuja na negative idea karibu, pia wenye roho ya kunisaidia watakuja na productive idea! Msaada jamani...thnx