Namna ya kuwafikia wateja wako kirahisi

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,011
Reaction score
4,705
Bulk sms ni mfumo unaomuweza mfanyabiashara,taaisisi au kampuni kuwa na uwezo wa kuwatumia watu wengi sms kwa wakati mmoja(hadi sms 1M) Ikiwa na Sender ID Ya kampuni ama taasisi yako

Mfumo Huu ni wa kisasa na ni wa haraka sana Ambao unakusaidia kuwafikia wateja wako Kwa urahisi zaidi kwa Gharama nafuu sana

Hizi bulk sms ni kama zile sms unatumia na mitandao ya simu au Tanesco,dawasco na.k yaan hata kama mtu hana namba yako moja kwa moja inapoenda inaenda ikiwa na SENDER ID ya,badala ya kwenda number

Kwa wale wafanyabaishara wanaohitaji kutumia mfumo huu, tunatoa mafunzo na kukuunganisha kwa gharama nafuu sana.

Twende na teknolojia usikubali kubaki nyuma

Mwneye anahitaji ani PM
 
Hao watu wa kuwatumia nyie mko nao?
Hapana Mkuu wewe ndio unakuwa una data base ya wateja wako ama watu wako so kama kuna offer ama promotion yoyote unawatumia wote kwa pamoja zinafika ina maana kama duka lako linaitwa TAJIRI KICHWA inakuwa ndio sender id yako huhitaji line wala simu. hata siku za sikukuu unakuwa una wa wish nao wanajiona sehemu ya baishara ama kampuni yako
Karibu
 
Mkuu mimi nashindwa kutumia MMS tatizo nini? Inabeba adi images lakini haziendi.
 

Je kama hawapendi kutumiwa jumbe katika simu zao. Vipi wakikublock na wakaona unazingua unasumbua
 
Je kama hawapendi kutumiwa jumbe katika simu zao. Vipi wakikublock na wakaona unazingua unasumbua
sms yenyewe ni fupi tu Mkuu kama zilivyo za Tigo ama dawasco sio za mara kwa mara ndio iwe usumbufu
 
duh hi nzuri.Nitumiye namba inbox.
 
safi sana iwe hivyo.Nitumiye namba iwe hapa au inbox kwa mazungumzo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…