Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Na wale wanaowachukua wenzao usiku wakiwa wamelala na kuwalimisha mashamba hapo inakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafanya hakika.
Hapa kwangu nna kibustani kina mihogo. Kitendea kazi nnacho.
Subiri mrejesho
Sijui alifanya vile ili kunizubaisha nisikonsetreti macho yangu sehemu nyingine ili nimuangalie yeye tuu huenda kuna mengine ngeyaona.🤣🤣🤣🤣🤣 sa alikua anamkatia nani nawe umelala chini🤣🤣🤣
Kumbe mti wa mhogo ni cctv ya kichawi, binadamu mna mamal
Nmecheka sana, kwahiyo ulikaa kimya tu umetulia?Sijui alifanya vile ili kunizubaisha nisikonsetreti macho yangu sehemu nyingine ili nimuangalie yeye tuu huenda kuna mengine ngeyaona.
😁😁😁eeeh halafu nilikuwa hata sicheki ila nikawa nashangaa kuona kikongwe anaelalamikaga miguu inamuuma anakata uno vile utazani kuna sebene la kikongo linapigwa BarNmecheka sana, kwahiyo ulikaa kimya tu umetulia?
Light and darkness zinategemeana.......christ...Unapokutana na kiumbe chochote kisicho cha kawaida hata shetani, wewe uliza WHO ARE YOU?
Kumbuka viumbe visivyo na mwili vinabeba umbo lolote kwa malengo wanayoyatarajia.
Mzee, nimekutana nao, nimeongea nao na pia nimechepushwa njia za kifo mara tatu zaidi.
Mtu anapokupa mbinu za kigiza giza ili uyaone yaliyogizani huyo anatafuta new members. Ukitaka kuyaona ya gizani just tumia light
Leo na mimi najaribu namkata mtu kalio huko huko ndotoni😁😁🤣🤣🤣🤣🤣 sa alikua anamkatia nani nawe umelala chini🤣🤣🤣
Kumbe mti wa mhogo ni cctv ya kichawi, binadamu mna mambo
Kwakifupi hata lile shina lake ukiliweka ndani utawaona ila kupitia ndoto
Mimi ninaushuhuda na hilo na aliyenifundisha hiyo dawa ni jamaa yangu kutoka Kigoma
Yaani nilimuona Bibi ambae sikumtegemea kabisa kama atakua mchawi na nimtu niliyekua namuheshimu sana mpaka leo nimepunguza mazoea na yeye
Ila angalizo wakijuwa unatumia kipande cha mti wa muhogo wanajua jinsi ya kukifanya kisifanye kaz
Mrejesho:Sorry nilikosea ni Ule mti wake muhogo unaukata unausimamisha Chumbani kwako, unaweza kuusimamisha hata kwenye kona ya mlango au kona yoyote ile ya chumba chako ila usizibwe na kitu chochote kile
Wale si wanaendaga kuangalia kwenye rada yao kilichowakwamisha nini so akija next time anajikoki ila chakufanya hakikisha hasubuhi unautoa huo mti wa muhogo au uwe unabadilisha kila baada siku kadhaa
Kuhusu kujua umemuona ndotoni hilo wanalijua sana kwasabubu utajikuta kulekule ndotoni unamkazia macho huku yeye akiendelea kufanya vituko vyake ili akuzubaishe kwa mf mimi nilijikuta nimekaa huku nimeegemea ukutani huku namuona mwenyewe anakata viuno pale kitandani kwangu siku hiyo nililala chini sikulala kitandani, aisee yule bibi anakata viuno aisee ila mchana ukimkuta huwezi mzania yaani utasikia mala analalamika miguu mala mgongo ila usiku anageuka kigagula, aliwahi kuwa mwalimu wa shule ya msingi akastaafu...
Rudia leo ukiwa haujanywa....Mrejesho
Jana nimerudi home 00pm ila nilikuwa tungi hatari.
Nikapita bustanini nikakata mti wa muhogo nikasimasha ndani.
Nimelala fofofo nimestuka kumi na mbili asubuhi.
Sikumbuki km nimeona chochote ndotoni.
Mrejesho:
Jana nimerudi home saa 6 usiku, ila nilikuwa tungi hatari. Nikapita bustanini nikakata mti wa muhogo.
Nikausimamisha chumbani pembeni ya mlango.
Nimelala nimekuja kustuka saa 11 alfajiri sijaota wala sijaona chochote.
Najiuliza hapa, itakuwa wanga walisahau jana kunitembelea?
Au muda naingia walikuwa wananichora tu na mti wangu wa muhogo?
Au muhogo haufanyi kazi km ulivyo sema?
Au tungi ilichangia nisiwaone?
View attachment 3013997
Ngoja nirudie leo nipo sober.Rudia leo ukiwa haujanywa....
Nimecheka sana kwakweli Dah, ujinga huuMrejesho:
Jana nimerudi home saa 6 usiku, ila nilikuwa tungi hatari. Nikapita bustanini nikakata mti wa muhogo.
Nikausimamisha chumbani pembeni ya mlango.
Nimelala nimekuja kustuka saa 11 alfajiri sijaota wala sijaona chochote.
Najiuliza hapa, itakuwa wanga walisahau jana kunitembelea?
Au muda naingia walikuwa wananichora tu na mti wangu wa muhogo?
Au muhogo haufanyi kazi km ulivyo sema?
Au tungi ilichangia nisiwaone?
View attachment 3013997
Basi huenda hakuna wachawi wanaokufuatilia mkuuMrejesho:
Jana nimerudi home saa 6 usiku, ila nilikuwa tungi hatari. Nikapita bustanini nikakata mti wa muhogo.
Nikausimamisha chumbani pembeni ya mlango.
Nimelala nimekuja kustuka saa 11 alfajiri sijaota wala sijaona chochote.
Najiuliza hapa, itakuwa wanga walisahau jana kunitembelea?
Au muda naingia walikuwa wananichora tu na mti wangu wa muhogo?
Au muhogo haufanyi kazi km ulivyo sema?
Au tungi ilichangia nisiwaone?
View attachment 3013997
Basi Shukuru Mungu hakuna mwanga wala mchawi anaekufuatiliaNgoja nirudie leo nipo sober.
Ntaleta mrejesho.
Ila jamaa alisema isiwe kila siku maana huwa wanastukia
Unawaona kupitia Dream Mzee mwenzanguSijaelewa Bado wakuu huo mti wa muhogo utakusaidia kuwaona kupitia ndoto au live ikitokea wameingia ndani ndio unawaona
Ngoja kesho nijijaribie nilale na pande la mihogoUnawaona kupitia Dream Mzee mwenzangu
😂😂😂🙌Nikija nitafanya hivyo na nitawapeni mrejesho. Tumeshasukuma sana milango iliyoandikwa vuta.
Siyo pande la muhogo mkuu ni mti wa mhogoNgoja kesho nijijaribie nilale na pande la mihogo