Mkuu naona indirectly unatuambia hio mitaa huijui......vingunguti na kwa mama zakaria wapi na wapi? bahama mama na tandika kwa maguruwe wapi na wapi? halafu unachanganya na ilala!!! Tunajua hii sio mitaa yako!
Afadhali mkuu umekuw mkweli, ila sahau kuhusu classic chicks u know.. Ha ha ha ha unaishi na dog huko u know..
Huyo unayemuita kuna kitu unakitafuta, ngoja ajejean cloud hebu pita huku.kunawatu wanakutafuta.eti wanabisha kuwa hukukutana na mmeo uwanja wa ndege kule kenya alafu wanabisha eti huna kazi ya maana ila kunammoja kavuka mipaka anadai eti huna usafirh unapanda daladala.ila me nachojua umesoma nje na ushakuwa high class kitambo
Nimesema tuacha uchokozi
Jukwaa Lake wap sasa, ilikuwa mmu imehamishiwa huku
hunu chitchat hawamo,wamehamia jukwaa la siasa,huko ndio kupeana vidongo balaaHa ha ha ha ha waje tu.....
waoh cheers bro, upo poa?Cheers to a new year my Sisy..