Namna ya kuwasilisha mada yako jf na usitoke huku umevimbaa

Namna ya kuwasilisha mada yako jf na usitoke huku umevimbaa

Mkuu naona indirectly unatuambia hio mitaa huijui......vingunguti na kwa mama zakaria wapi na wapi? bahama mama na tandika kwa maguruwe wapi na wapi? halafu unachanganya na ilala!!! Tunajua hii sio mitaa yako!

huku ndio kwetu mkuu, nyie wa Masaki, endeleeni tu kufanya yenu!
 
Afadhali mkuu umekuw mkweli, ila sahau kuhusu classic chicks u know.. Ha ha ha ha unaishi na dog huko u know..

unaona sasa! watoto wa kota mnaleta madharau!
 
jean cloud hebu pita huku.kunawatu wanakutafuta.eti wanabisha kuwa hukukutana na mmeo uwanja wa ndege kule kenya alafu wanabisha eti huna kazi ya maana ila kunammoja kavuka mipaka anadai eti huna usafirh unapanda daladala.ila me nachojua umesoma nje na ushakuwa high class kitambo
 
Huyo unayemuita kuna kitu unakitafuta, ngoja aje
 
Nasoma hii huku nikishushia na Heineken yangu taratiiibu baada ya kazi hapa (....) nikipataja ntaonekana naringa. Ukiyapatia maisha bwana raha sana
 
Mimi jirani yangu Rais mstaafu wa awamu ya pili...
 
Kumbe watu wanawivu sana hadi umeamua kuwaonya, naona Mzurimie hajavamiwa sababu hayupo katika hayo yote.
 
Nauli za ndege hasa international flights zimeshuka sana nimefanya booking yangu kwenda paris kwa mil nukta mbili tu kwenda na kurudi
 
Back
Top Bottom