Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari

Unachokisema nikweli, hili nililishuhudia kwa jirani aliyekuwa na ndugu Dar.
 
Hiyo namba 4 umakini unahitajika maana unaweza jitesa na njaa then baada ya kupata pesa papo hapo na magonjwa bro kula kawaida hakuja wah mferisha mtu
 
Mkuu hao mademu wenyewe wachakarikaji wenye mshiko wapo wangapi? mademu wengi kibongobongo ni tegemezi kwa wanaume, usifananishe na majuu.........
 
Mkuu hao mademu wenyewe wachakarikaji wenye mshiko wapo wangapi? mademu wengi kibongobongo ni tegemezi kwa wanaume, usifananishe na majuu.........

Kila mtu hupata kile anachokitafuta.
Huona Yale atakayo kuyaona.

Mimi HAO mademu nawaona wapo wengi Mkuu. Labda ni kutokana na mazingira ninayoishi
 
Hiyo namba 4 umakini unahitajika maana unaweza jitesa na njaa then baada ya kupata pesa papo hapo na magonjwa bro kula kawaida hakuja wah mferisha mtu

๐Ÿ˜€
Milo miwili Kwa age ya 25-45 ni mizuri Kwa Afya kuliko Milo mitatu.
Mlo mmoja Kwa age ya 60-100 ni mzuri Kwa Afya kuliko miwili au Milo mitatu.

Sijasema mtu akae na njaa Ila nimesema mtu ajifunze kukaa na njaa. Sijui Kama sentence hizo unazielewa
 
Kila mtu hupata kile anachokitafuta.
Huona Yale atakayo kuyaona.

Mimi HAO mademu nawaona wapo wengi Mkuu. Labda ni kutokana na mazingira ninayoishi
Unakuta hao wamewezeshwa na mabwana zao tayari au wachache waliowezeshwa na wazazi, ndugu na jamaa, ila wale real wapambanaji bongo mademu ni wachache sana hamuwezi kunyang'anyana hao wachache........kule majuu fursa na utamaduni unaruhusu wanawake na wanaume kuwa na almost fursa sawa za kufanya shughuli za kuwaingizia vipato kwa hiyo wanajikuta automatically wanatengeneza couple ambayo wote wana shughuli za kufanya na hivyo kila mmoja anakuwa more independent katika mahusiano. Bongo unaweza kuta demu alikuwa mchakarikaji, akishaolewa anarudi kubweteka kuwa tegemezi kwa mwanaume, kwa hiyo ni swala la athari za kiutamaduni na mindset kwamba mwanaume ndo anawajibika kuwa mtafutaji wa familia.​
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ You made my day Robert Heriel Mtibeli aka Taikon, Kuishi kibepari ndio the 1st Law, for The Survival of the Fittest.
Mjini
Shule, mjini Mipango. Hapendwi mtu inapendwa PESA!!!
 
We Jamaa una Akili SANA over
 
kweli ww ni professor wa fasihi
 
Ni sawa ila tambua kila mwanadamu ana mtazamo tofauti na mwingine, kutokana na mazingira aliyokulia wengine watakuona ni mtu wa kupenda sifa, unaringa, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ