Namna ya kuzuia wembamba wa kupitiliza

ukinenepa unakua na kibamia nakushangaa jamaa unalilia kumiliki kibamia.[emoji23]
 
Hapana
Wenzio tuna strugle kuupata huo wembamba wew unauchukia,..kwel dunia ina wenyew
Hapana huo wake ni extra MTU unatakiwa unawiri yaan una kaafya kazuri siyo mwembamba sio mnene afya ina heshima yake bwana.
 
Dooh yaani ninavyohangaika na diet ili nitoe haya makilo mwilini kuna mtu anahangaika anenepe
Anachokichukia ni ule wembamba uliokithiri ambao unasababisha mpaka mishipa inaonekana, anakereka na hall hiyo hivyo km na wewe una unene uliokithiri nadhani hufurahii hali hiyo. (Obesity).
 
Anachokichukia ni ule wembamba uliokithiri ambao unasababisha mpaka mishipa inaonekana, anakereka na hall hiyo hivyo km na wewe una unene uliokithiri nadhani hufurahii hali hiyo. (Obesity).
Sina unene uliokithiri sema unene tu siupendi...
 
Sina unene uliokithiri sema unene tu siupendi...
Sawa kwa hiyo unaonaje mara paaap unajikuta una kg 45 halafu paja na ugoko havieleweki huku mishipa ikiwa imekusimama km mrija wa catheter utafurshia hali hiyo?
 
Sawa kwa hiyo unaonaje mara paaap unajikuta una kg 45 halafu paja na ugoko havieleweki huku mishipa ikiwa imekusimama km mrija wa catheter utafurshia hali hiyo?
Ninavyopenda wembamba ntafanya party
 
Nmesoma mahali kuwa juice ya tende, karanga na maziwa inanenepesha
 
Mkuu kula dona ila uwe makini mwenzio nlikuwa na kg 61 nikaanza kupiga dona, nikashanga zile suruali zinazonivuka navaa bila mkanda, shati mikononi zinabana saivi nimeacha kula dona, yaani ndani ya siku 90 nilitoka 61kg to 80
 
Unajua umeshajijengea hofu kuhusiana na hali yako na unavyokula unakula kwa matokea ya kupata kitu Fulani na kisipotokea unanyongea cha kufanya relax unavyopangilia chakula chako kua huru usile kwa kutaka kunenepa Bali kula kwa afya utaona matokeo
 
Sawa ahsante ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…