Namna ya kuzuia WhatsApp group kushow zimeingia SMS mpya

Namna ya kuzuia WhatsApp group kushow zimeingia SMS mpya

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Habari,

Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili nisifungue nafanyeje au kufuta kabla kufunga au kublock nisipate message kwa group A au B.

Msaada kwenye tuta
 
Moja ya namna bora kabisa ni ku-left group maana ukiona sms za group fulani zinakukera, ni kuleft tu.
 
mute tu mkuu binafsi ndio nimefanya na pia nimezuia pop up zake so hadi nizifungue wharsapp ndio nitaona text za group.
fungua group husika juu kulia utaona vdoti vitatu vya option. vibofye then utaona option ya mute notifications.
utafanya hvyo kwa group zote na members pia ukihitaji.
 
Hakuna namna hapo ni kuleft tuuu, mi nimeleft group zote , nimebak na group mbili tuu tena za biashara...hata ukisema u-mute , still zitaingia tuu
 
Tatizo ni Bei ya vifurushi kuwa juu

haya malalamiko hayakuwepo
 
Back
Top Bottom