Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili nisifungue nafanyeje au kufuta kabla kufunga au kublock nisipate message kwa group A au B.
mute tu mkuu binafsi ndio nimefanya na pia nimezuia pop up zake so hadi nizifungue wharsapp ndio nitaona text za group.
fungua group husika juu kulia utaona vdoti vitatu vya option. vibofye then utaona option ya mute notifications.
utafanya hvyo kwa group zote na members pia ukihitaji.