Namna ya ulaji wa samaki unavyoakisi tabia yako

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
825
Wana zengo habari zenu? Natumai mko poaaa

Kutokana na uzoefu niliokuwa nao kuhusu tabia za watu, leo hii napenda kukutaarifu, ni namna gani ulaji wako wa samaki unayoakisi tabia yako

1.wanaopendelea kumla samaki kuanzia kichwani
-wachoyo
-wabinafsi
-watundu/wakorofi
-wanajiamini

2.wanaopendelea kumla samaki kuanzia katikati
-wapole
-si walafi
-wana roho nzuri

3.wanaopendelea kumla samaki kuanzia mkiani
-waoga
-hawajiamini
-wagumu kuchukua maamuzi

Upo kundi gani?.....jiachie.
 
Kama kunaukweli ndani yakeaisee
 
Wasiokula samaki kabisa? Wanaokula samaki ila vichwa hawali?
 
Nilijua tutazungumzia wanaokula samaki wanabakiza kichwa, wanaokula wanabakiza tu mifupa au wanaokula na hawabakizi chochote
 
ulichoandika mbona hakina uhalisia ndugu mi napenda kula kuanzia kichwa lakini nina sifa za namba 2 hapo inakuwaje?
 
Samaki ni samaki awe wa mtoni, ziwani,baharini
Nakuakikishia hakuna binadabu asiyekula samaki

Mkuu,sio kweli baada ya utandawazi ndo jamii yangu, imanza kula samaki
Nakama desturi tunakata kichwa
then samaki analiwa
 
Back
Top Bottom