jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 825
Wana zengo habari zenu? Natumai mko poaaa
Kutokana na uzoefu niliokuwa nao kuhusu tabia za watu, leo hii napenda kukutaarifu, ni namna gani ulaji wako wa samaki unayoakisi tabia yako
1.wanaopendelea kumla samaki kuanzia kichwani
-wachoyo
-wabinafsi
-watundu/wakorofi
-wanajiamini
2.wanaopendelea kumla samaki kuanzia katikati
-wapole
-si walafi
-wana roho nzuri
3.wanaopendelea kumla samaki kuanzia mkiani
-waoga
-hawajiamini
-wagumu kuchukua maamuzi
Upo kundi gani?.....jiachie.