Kama kunaukweli ndani yakeaiseeWana zengo habari zenu? Natumai mko poaaa
Kutokana na uzoefu niliokuwa nao kuhusu tabia za watu, leo hii napenda kukutaarifu, ni namna gani ulaji wako wa samaki unayoakisi tabia yako
1.wanaopendelea kumla samaki kuanzia kichwani
-wachoyo
-wabinafsi
-watundu/wakorofi
-wanajiamini
2.wanaopendelea kumla samaki kuanzia katikati
-wapole
-si walafi
-wana roho nzuri
3.wanaopendelea kumla samaki kuanzia mkiani
-waoga
-hawajiamini
-wagumu kuchukua maamuzi
Upo kundi gani?.....jiachie.
Wasiokula samaki kabisa? Wanaokula samaki ila vichwa hawali?Wana zengo habari zenu? Natumai mko poaaa
Kutokana na uzoefu niliokuwa nao kuhusu tabia za watu, leo hii napenda kukutaarifu, ni namna gani ulaji wako wa samaki unayoakisi tabia yako
1.wanaopendelea kumla samaki kuanzia kichwani
-wachoyo
-wabinafsi
-watundu/wakorofi
-wanajiamini
2.wanaopendelea kumla samaki kuanzia katikati
-wapole
-si walafi
-wana roho nzuri
3.wanaopendelea kumla samaki kuanzia mkiani
-waoga
-hawajiamini
-wagumu kuchukua maamuzi
Upo kundi gani?.....jiachie.
Hao ni mafirauni na mbinguni watapasikia tuVipi wanaopendelea kumla samaki upande na kumgeuza upande mwingine?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa jeipmSamaki ni samaki awe wa mtoni, ziwani,baharini
Nakuakikishia hakuna binadabu asiyekula samaki
Ohoo!! [emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Hao ni mafirauni na mbinguni watapasikia tu
Samaki ni samaki awe wa mtoni, ziwani,baharini
Nakuakikishia hakuna binadabu asiyekula samaki