Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Nawaogopa sana. Halafu ajabu wafanyakazi wote wa hoteli ni wanaume. Hakuna nwanamke hata mmoja.milupo.com hawakuwepo maeneo ya jirani?
Juzi nililala hapo mahali nikajilaumu kwa nini sikutembea na mke wangu. Karibu kila aliyeingia pale alikuwa na wake. Halafu TV zina channel ya mavituzi masaa 24. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kulala guest ya aina hiyo.