Namnani Sinza Kulikoni!!!

Namnani Sinza Kulikoni!!!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Juzi nililala hapo mahali nikajilaumu kwa nini sikutembea na mke wangu. Karibu kila aliyeingia pale alikuwa na wake. Halafu TV zina channel ya mavituzi masaa 24. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kulala guest ya aina hiyo.
 
OK! I see, ulikuwa guest peke yako. Next time mchukue mkeo.
 
Juzi nililala hapo mahali nikajilaumu kwa nini sikutembea na mke wangu. Karibu kila aliyeingia pale alikuwa na wake. Halafu TV zina channel ya mavituzi masaa 24. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kulala guest ya aina hiyo.

Hivi kweli waweza kutembea na mke wako?.........just asking................
 
aaah muwe mnaulizia wenyeji si kila guest or lodge inafaa zingine ni machimbo ... sasa umeenda chimbo unalalamika nini???
 
Kwani kusafiri na mkeo pamoja nikwasababu kama hiyo ulotoa hapo juu au kuna zaidi?
 
siku nyingine utembee nae japo mshatembea sanaaa!!
 
Back
Top Bottom