Nampa 100% Rais Samia

Nampa 100% Rais Samia

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Kongole Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Umeifungua Tanzania, Watalii wanamiminika wa kutosha, umemwaga ajira, umepandisha madaraja kwa watumishi sasa ni neema tupu.

Umeboresha huduma za Jamii, sasa elimu bure Darasa la (I) kwanza hadi kidato cha Sita (VI) Mikopo ya kutosha kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.

Tunaimani kubwa na wewe, tutakulipa kwa imani. Tunakuombea, Mungu akuhifadhi, uchape kazi. Kazi kubwa umefanya na kazi inaendelea.

Hakuna Kilichosimama, Kazi Inaendelea.

 
images (51).jpeg
 
Hongera zake maana tunaona mabadiliko makubwa nchini zingatia lifuatalo; UNGEKUJA NA DATA KAMILI ZA UYASEMAYO AISEE WAJUMBE WANGEKUELEWA SANA.
Tumpe muda Mama yetu.
 
Mwaka huu ndio anatakiwa kuprove uwezo wake. Bila hivyo watu watamchoka haraka. Kumbuka wafu wenye njaa hawaangalii sura ya mtu.
 
Mpe hongera Kwa Tanzania kutajwa katika nchi 50 masikini zaidi duniani, blablabla mnaboresha matumbo yenu tu, siasa uchwara ohh watalii wameongezeka, mikopo tuna pata, tume waambia hayo yote ni kidogo sana kuitoa Tanzania kwenye umasikini, njia pekee ni uzalishaji.


Hii CCM sijui ni Kuna vitu gani vichwani.
 
Back
Top Bottom